Swali la ufahamu

Swali la ufahamu

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari wadau uwa natumia hiko kifaha hapo chini kuingilia kwenye internet sasa bando likiisha uwa naona tabu kutoa laini kuweka kwenye simu na kuinga bando kuitoa tena kuirudisha humo,swali hamna njia nayoweza kuunga bando bila kutoa iyo laini humo
 
Kifaa chenyewe hiki
20190812_133150.jpeg
 
Huyu mtoa mada "mikumiyetu" ni tapeli kawatapeli watu wengi sana hapa jamii forums sio wakumsikiliza
 
Habari wadau uwa natumia hiko kifaha hapo chini kuingilia kwenye internet sasa bando likiisha uwa naona tabu kutoa laini kuweka kwenye simu na kuinga bando kuitoa tena kuirudisha humo,swali hamna njia nayoweza kuunga bando bila kutoa iyo laini humo
YAANI KUTOA LINE NA KUJIUNGA KIFURUSHI UNAONA TAABU??

ACHA KUPENDA KITONGA

TAFUTA MTU AKUNUNULIE KIFURUSHI NDIO SIMPO AU UNAONAJE
 
Habari wadau uwa natumia hiko kifaha hapo chini kuingilia kwenye internet sasa bando likiisha uwa naona tabu kutoa laini kuweka kwenye simu na kuinga bando kuitoa tena kuirudisha humo,swali hamna njia nayoweza kuunga bando bila kutoa iyo laini humo
1. Zipo dashboard zinazokubali ussd sema sio zote. Ikifunguka kwenye browser huipati hio option?

2. Jaribu kuwa na line 2 za mtandao mmoja, tumia line nyengine kujiungia vifurushi humo.
 
Changu hicho hapo siko na uvivu wa kutoa lain kwanza situmii lain moja kuacces internet..acha uvivu
1565642203859.jpeg
 
Back
Top Bottom