Nahitaji kioo cha sumsung s8

ugido

JF-Expert Member
May 29, 2014
421
104
Habari wana jamii forum naomba msaada mwenye kujua kioo cha simu ya sumsung galax s8, au housing na kiooo maana kimepasuka chambele na cja nyuma , simu yangu imepasuka kioo ikiwa bado mpya naomba mwenyekujua vioo hivi vinapatikana wapi na kwa bei gani,
 
Naomba kina chief mkwaw na wengine mnisaodie msikae kimya nashida itazido lupasula
 
Uko mkoa gani? Cha nyuma bei yake ni 10,000 tu.

Je cha mbele kimepasuka kile cha juu tu au hadi ile screen yenyewe kupelekea sim kutofanya kazi? Kama ni cha juu basi ni kuanzia 150,000-200,000 ila kama screen pia imeathirika basi andaa si chini ya 500,000. Samsung shops watakutengenezea kwa 600,000 ila ukienda kariakoo kwa mafundi wa pale watakutengenezea kwa 500,000.

Simu za samsung ni kioo tu. Nilikua nayo mwaka jana nikapasua kioo(screen nzima)cha mbele na cha nyuma. Nilivyozunguka kwa mafundi nikakuta bei ni hiyo nikaachana nayo nikanunua sim mpya toleo lingine.
 
Ungeagiza isingefika hiyo bei boss wangu easy tu alafu ungepata kioo quality.
 
Ukiagiza inafika kiasi gani mkuu?
Sibiri nikupe price quote boss wangu from aliexpress

Hawa ni seller ambao review zao nzuri na customer wana recommend kulingana na ubora wa items na hata kuuza wanauza sana.

Muhimu kuanza kufatilia review za buyers kabla hujanunua parts za simu.
Screenshot_2019-06-16-10-47-04-708_com.alibaba.aliexpresshd.png
Screenshot_2019-06-16-10-40-20-007_com.alibaba.aliexpresshd.png
Screenshot_2019-06-16-10-40-07-485_com.alibaba.aliexpresshd.png
 
Shukrani sana mkuu.

Hivi ukiagiza kitu aliexpress kinafika hapa bongo baada ya siku ngapi mkuu?
Within 21 days hii ni maximum japo kinaweza wahi pia kama siku 17 hadi 18 wanapochelewesha mzigo kuna muda ni posta unaweza kuta mzigo unaingia week mzima hawajafanya yao.
 
Naweza kuagiza simu au kununua simu toka aliexpress? Je bei yake inaweza kua mdogo kuliko haya maduka ya hapa Bongo?
 
Sibiri nikupe price quote boss wangu from aliexpress

Hawa ni seller ambao review zao nzuri na customer wana recommend kulingana na ubora wa items na hata kuuza wanauza sana.

Muhimu kuanza kufatilia review za buyers kabla hujanunua parts za simu.
View attachment 1128862View attachment 1128863View attachment 1128864
Na mimi nina s8 yangu mpya imepasuka kioo.. Bei zake kkoo nikaona acha ninunue nyingine tu.

Ila kama ni dola 57 ni rahisi sana. Ila lazima ujue model ya simu yako ili uagize kioo sahihi...

Mkuu ila mbona kuna tofauti sana ya bei ya Vioo?
 
Habari wana jamii forum naomba msaada mwenye kujua kioo cha simu ya sumsung galax s8, au housing na kiooo maana kimepasuka chambele na cja nyuma , simu yangu imepasuka kioo ikiwa bado mpya naomba mwenyekujua vioo hivi vinapatikana wapi na kwa bei gani,
Kkoo nilienda kioo waliniambia around 300,000 mpaka 400,000 na kubadilishiwa 50,000 nikaona ikae ndani kwa muda.
 
Na mimi nina s8 yangu mpya imepasuka kioo.. Bei zake kkoo nikaona acha ninunue nyingine tu.

Ila kama ni dola 57 ni rahisi sana. Ila lazima ujue model ya simu yako ili uagize kioo sahihi...

Mkuu ila mbona kuna tofauti sana ya bei ya Vioo?
Tofauti ipo hapo inategemea na ubora pia ndo maana nimekupa hint katika parts tafuta kioo sellers ambae ana review nzuri sababu kuna buyers comment pale chini kuhusu hiyo bidhaa na seller ambao nime recomend ni seller ambao wanauza sana na review zao ni nzuri due to custumers satisfication mkuu.
 
Naweza kuagiza simu au kununua simu toka aliexpress? Je bei yake inaweza kua mdogo kuliko haya maduka ya hapa Bongo?
Bila shida mfano simu nayotumia mimi nimeagiza hapo kwa 400k kipindi inatoka last year Dec ambapo Tz ilikuwa mtu akikuagizia ni hadi 590k japo pia hazipatikani bongo kwa wingi ni brand ya Xiaomi.

Mfano, iphone 6 aliexpress unapata kwa 300k hadi 350k hadi inafika Tz kulingana na capacity yake hivyo basi ni nafuu zaidi kuagiza bidhaa nje muhimu tu uwe na subira kiasi maana kuna tuna ngoja bidhaa hadi week 3 mpaka 4 na zinafika sijawahi poteza mzigo nashukuru kwa hili.
 
Unatumia posta mkuu.. Mi nimejaribu kuomba sanduku bila mafanikio..
 
Vizuri.

Ila kuna simu nilijaribu kuangalia samsung s10 plus sikuziona nikaona protectors tu za s10 na s10+.
 
Kama unafanya kazi kwenye shirika fulani tumia hilo box mzigo utakufikia tu,hata sanduku la chuo mzigo utakufikia tu, au kama kabisa huna sanduku andika address yako na namba yako ya simu bila kusahau post code hizi zipo kwenye website ya TCRA za TZ nzima mzigo ukifika unatumiwa sms unaenda posta na ID yako ambayo ina majina yaliyoandikwa kwenye mzigo unapewa mzigo wako bure.

Pia kama utatumia sanduku la mtu hii haifanyi wewe usipate mzigo wako wanachofanya ni hivi kuna kikadi kidogo kinakuwa na majina yako na no. Ya mzigo kinawekwa mule na ili sas uupate mzigo lazima majina ya kile kikadi yafanane na ID yako hivyo basi hii inafanya hata kama unetumia box la mtu ila bdo tu mzigo wewe ndo utaupata maana kama si muhusika basi hataweza kuchukua mzigo maana hatakuwa na Id sahihi sijui umeneelewa.

Njoo kwenye huu uzi nakutag uliza maswali yako utakutana na manguli watakupa majibu mazuri nawe naamini utakuwa siku moja mtaalamu wa kuagiza vitu nje.
 
Kuna bidhaa parts bado kidogo mkuu hadimu maana nina hakika s10 na s10+ bado mbichi sokoni boss wangu.
 
Kama unafanya kazi kwenye shirika fulani tumia hilo box mzigo utakufikia tu,hata sanduku la chuo mzigo utakufikia tu, au kama kabisa huna sanduku andika address yako na namba yako ya simu bila kusahau post code hizi zipo kwenye website ya TCRA za TZ nzima mzigo ukifika unatumiwa sms unaenda posta na ID yako ambayo ina majina yaliyoandikwa kwenye mzigo unapewa mzigo wako bure.

Pia kama utatumia sanduku la mtu hii haifanyi wewe usipate mzigo wako wanachofanya ni hivi kuna kikadi kidogo kinakuwa na majina yako na no. Ya mzigo kinawekwa mule na ili sas uupate mzigo lazima majina ya kile kikadi yafanane na ID yako hivyo basi hii inafanya hata kama unetumia box la mtu ila bdo tu mzigo wewe ndo utaupata maana kama si muhusika basi hataweza kuchukua mzigo maana hatakuwa na Id sahihi sijui umeneelewa.

Njoo kwenye huu uzi nakutag uliza maswali yako utakutana na manguli watakupa majibu mazuri nawe naamini utakuwa siku moja mtaalamu wa kuagiza vitu nje.
Shukrani sana mkuu.. Hapa unamaanisha hata nikiweka sanduku la posta bado mzigo nitachukulia dirishani?
Shukrani mkuu..
 
Mkuu ebay na amazoni zipo, aliexpress wameshindwa nini?
Siunajua Aliexpress ni seller/Store ya uchinani na siunafahamu kwamba kuna changamoto kwa sasa zinaendelea katika haya mataifa mawili amazon na ebay wao ni wamarekani hivyo wanauwanja mkubwa wakuzipata hizo kwa haraka zaidi compared na seller/Store yaa uchinani,ila naamini recently tu mzigo utaanza patikana aliexpress pia kitu kingine ni agharabu sana kukutana na utapeli huko aliexpress ila ni rahisi sana kukutana na utapeli amazon na ebay hasa kama mchanga kwenye haya masoko ya mtandaoni nadhani hapa unaelewa hili ndo maana linafanya alibaba anakimbiza kwa sasa sababu kajitahidi kuzingatia usalama wa mteja kupigwa kuliko huku amazon na ebay.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom