jaman ni msaada jigani ya kutumia internet

Hamna vya buree ww utaolewa ok kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k unatumia internet mwezi mzima bila ukomo wa mb wala gb hata utumie gb20 kwa siku ni we tu dakika 120 za mitandao yote na 300 za halotel na sms 500 nitake nn tena jmn hiv vifurushi kila laini vipo asikuibie mtu kuwa akuunge jiunge mwenyewe.
Namna ya kujiunga
 
Njoo geto kwangu WiFi bure ni ww tu ila c tutaelewana au hamna cha bure jombaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom