Nashindwa kupokea meseji za watsup

rettyy

Member
Nov 7, 2017
73
34
Nashindwa pokea baadhi ya meseji katika makundi ya watsup. Naomba msaada wa suluhisho la tatizo hilo
 
Simu yako ina memory ya kutosha na internet speed ipo OK?? Hakikisha Settings za APN zipo Ok
 
Back
Top Bottom