Airtel 4G wanajitahidi

Airtel 4G wanajitahidi

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4,372
Reaction score
12,479
Cheki hapa..
Screenshot_20190816-214139_Speedtest.jpeg
 
2MB/s na ping nzuri.... Sio mbaya kivile, wanajitahidi.
 
Yes. Dar es Salaam. Sijajua mikoani
Walitulazimisha tusajili malaini yao ya kishamba sina mtu hata mmoja wa kumpigia, vibanda vya kutoa pesa na kuweka havipo.
.
Vocha hakuna sehemu pa kuzipata karibu eti niweke hela M-Pesa kisha nijitumie TTCL pesa huo ushenzi sikuutaka nikavunja.
.
Kazi zetu muda mwingi tunasafiri sasa tukiwa vijijini naingia hata JF kama niko mjini kwa Vidacom 3G murua kabisa ila sasa TTCL na Airtel uuuuwiiiii ni E
 
Sio mbaya sana...voda kipind wmeanza nakumbuka ilikua inafka 6MBs maeneo ya mbezi
 
Sio mbaya sana...voda kipind wmeanza nakumbuka ilikua inafka 6MBs maeneo ya mbezi
Hapa nilipo inafika mpka 20Mbps inategemeana na uwezo wa simu yako tatizo lao ni vifurushi wamebana saana
 
Mi Nina line yao mpya haipandishi 4G nimeenda hadi pale Morroco yaani wahudumu wa pale hamna kitu kabisa nimebishana nao sana wakaahidi suala litashughulikiwa na IT department so ni subiri 24-48hrs kitu kitapandisha 4g but siku ya 5 leo ni bila bila nimeamua kuachana na dude lao
 
Mi Nina line yao mpya haipandishi 4G nimeenda hadi pale Morroco yaani wahudumu wa pale hamna kitu kabisa nimebishana nao sana wakaahidi suala litashughulikiwa na IT department so ni subiri 24-48hrs kitu kitapandisha 4g but siku ya 5 leo ni bila bila nimeamka kuachana na dude lao
Mimi Nina masaa Kama 30 Sasa Hivi haijapanda bado, ila jamaa Ni unprofessional Sana, yaani ununue line ukae siku kibao ndio ipandishe 4G, muda wote huo internet inakuja na kukata, sijui wanahisi hatuna matumizi au hakuna mitandao mengine?
 
Ndio ipo hivyo hivyo mkuu,
Kwa simu Huwezi gundua kirahisi ila ukiweka kwa modem ndio utaona jinsi inavyokata kata ovyo.
 
Nadhani watakuwa wanazidhibiti Ile 4Gb yao isilike yote then ikishaexpire ndio wanaachia isome 4G lte
Mbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.
 
Mimi nimekumbana na tatizo hilo mpaka line nimeitupa
Mi Nina line yao mpya haipandishi 4G nimeenda hadi pale Morroco yaani wahudumu wa pale hamna kitu kabisa nimebishana nao sana wakaahidi suala litashughulikiwa na IT department so ni subiri 24-48hrs kitu kitapandisha 4g but siku ya 5 leo ni bila bila nimeamua kuachana na dude lao
 
Mbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.
Sahihi hata mimi nimeisigina ila Kuna maeneo ipo Jau kweli 3g yao haizidi 100Mb/sec kwa Idm
1566053601718.jpg
 
Attachments

  • 1566053601718.jpg
    1566053601718.jpg
    33.6 KB · Views: 20
Back
Top Bottom