faida kubwa ninayoifahamu ni kwamba inarahisisha kwenye kufanya kazi na kuweka kumbukumbu ra record zako.
nitaelezea kwa kutumia mfano wa HR asiye na mfumo, na yule mwenye mfumo,
inapofika mwisho wa mwezi, HR asiye na mfumo anatumia muda mwingi sana kuandaa salary slip za wafanya kazi zake, kwani inabidi aandae kila mmoja manually, na kuprint au kumtumia, pata picha ana wafanya kazi 15 tu, itamchukua muda mrefu mpaka amalize kuandaa kwa kila mtu.
kupitia hr system, process kama hiyo inakuwa inarahisiswa, na badala yake jambo ambalo lilikuwa linachukuwa effot kubwa kufanyika litakuwa simplified na kufanyika kwenye system automatically kwasababu process zote zinakuwa tayari zipo defined. mpaka hapo hr ameondokana na tabu aliyokuwa anaipata kwenye kuandaa salary slip.
hivyohivyo kwenye stock au accounting, jambo ambalo lilikuwa linafanyika manually na linachukua muda mrefu, kupitia mfumo linarahisishwa na kufanyika automatically