Naomba msaada jinsi ya kuandika booklet ndogo kwenye PC

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
611
726
Heshima kwenu wakuu.

Nafahamu kuwa jukwaa hili limejaa watu wenye utalaamu wa aina mbalimbali.

Nataka kutayarisha booklet dongo kabisa ambayo unaweza kuiweka hata kwenye mfuko wa shati ,lakini content yake ni kubwa kiasi cha kubeba topic nzima.

Booklet hiyo iwe katika mfumo wa kitabu (book-fold) .

Naomba mwenye utaalamu huu anielekeze.

Pia naomba aniambie ni microsoft office ipi inayotumika, Word au Publisher?
 
Back
Top Bottom