Camera na microphone za kurekodia vipindi vya youtube

Camera na microphone za kurekodia vipindi vya youtube

BLOGER10

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
267
Reaction score
172
Kama kuna mtu ana Uzoefu wa microphone na camera za kurecodia vipind naomba anisaidie bajeti yake wadau
 
Microphone blue Yeti, around dola 120,

Kama vyuma vinabana, blue snowball around dola 50.

Sema Ni Bei za USA, Kuna gharama za kuzileta Hapa.

Hizi Ni USB Mic kwa ajili ya voice over kutumia Computer.

Kama Unataka mic za camera subiri wanakuja.
 
Back
Top Bottom