MSAADA | Anayejua namna ya kutengeneza File ( Picha ya Google ) ili Picha ( Likibonyezwa lin-redirect kwenda kwa url ( Website ) nyingine )
Mfano picha hapa chini !!
Msaada wa Haraka !!
Cc...
Habari za humu wakuu,
Nipo na pc yangu sasa kuna mtu aliweka flash yake kumbe ilikuwa na viruses, kinachofanyika ni kwamba wanakula kila application setups.
Kila application iliyo kwenye pc...
Wakuu natarajia kupata panel ya 150w, Battery 120ah na Charger Controller 15a, mahali ninakoenda kufunga umeme haujafika ila nyuma tayari ina wireling ya Tanesco, je wireling hiyo itafaa kwa...
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuweka sawa site yangu niliyowetengeza kwa wp,nna issue moja kwenye related post, nilihitaji zikae chini ya post lakin hii inaonekana pembeni ya post.
NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS
Propeller ads huu mtandao hulipa bloggers Kutokana na kila mtu anaye tembelea blog yake.toka nijiunge na mtandao huu nimekua Niki ambulia $0.00 kila nikijaribu...
Wadau,
Naombeni mwenye kujua inapouzwa, au anayeuza, miwani ya anti-blue rays kwa ajili ya kutumia kwenye kompyuta anisaidie. Angalau niipate Dar Es Salaam au Bagamoyo.
Mawasiliano
0759947397...
Salaamu... kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, kwa wataalamu wa soft ware mnisaidie. Simu yangu nikiwasha data tu inajilistart, nimei format na kufanya restoration mara kadhaa lakini still...
Habarini wadau kama hapo kichwa kinavyojieleza naomba msaada wa kupata Application nzuri ya kuficha SMS calls au photo kwa Android ukitaja jina lake kama ipo play store au link yake ya ku...
Msaada tafadhali,
Wakuu simu yangu Samsung note 4 huwa haileti na haioneshi delivery report nikituma SMS. Kila kitu nimeset vizuri upande wa message.
Pia haileti notifications za JF japo kila...
Kutokana na changamoto za umeme
kukatika katika au baadhi ya maeneo kutokuwa na umeme
Nimebuni mashine hii ambayo itamwezesha kinyozi kuendelea na shughuri yake ya kunyoa bila kujali umememe upo...
Tunafahamu kwamba kuna njia tatu za kutambua kama hii simu inakaa na chaji au la. Njia zenyewe ni "mAh", "nm" na "optimization".
Katika hizo njia, njia ambayo simu zake bei rahisi ya "mAh".
Kwa...
Hello Jforums
ikiwa ni juma pili njema yenye kupendeza machoni kwa bwana,leo ningependa tuelimisha mawili matatu juu ya baadhi ya mitandao ambayo inaweza kukusaidia kwa namna moja ua nyingine...
Tengeneza website bila kuwa na ujuzi, copy link hii....
http://wapkw.net
kisha jiunge kwa maelezo na msaada register kwenye website yangu, link...... http://sixters.wapkw.net
Habari wana Jf
Kuna kitu ambacho kinakera sana pindi napoenda kufuata huduma mahali nakutana na huu msemo MTANDAO UPO CHINI
najikuta nalazimika kusubiri mpaka masaa 3 na kuendelea,
Yawezekana...
Wazee simu yangu inakataa kuactivate iMessage inabaki ikisema Waiting for activation
IOS Ipo uptodate
Natimia wireless na nertwork ya kawaida ila bado
Help me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.