fite fite
Senior Member
- Feb 27, 2017
- 113
- 94
Habari wana Jf
Kuna kitu ambacho kinakera sana pindi napoenda kufuata huduma mahali nakutana na huu msemo MTANDAO UPO CHINI
najikuta nalazimika kusubiri mpaka masaa 3 na kuendelea,
Yawezekana hili tunakumbana nalo wengi,
Inauma sana kupoteza muda zaidi ya nusu siku kwa huduma ambazo ni za dk3 tu,
Hapa najua kuna nguri wa haya mambo ya kusolve masuala ya mitandao kuwa chini au kutokuwepo kabsa nahitija ufafanuzi zaidi juu ya hili
Pili, nataka kujua inapokosea hali kama hii haswa kwenye ofisi za umma anayetakiwa kuwajibishwa ni nani...?
Tatu, Hii hali imeshakuwa kero sana suluhu yake ni ipi kwamba hatuna wataalamu wa kufix haya masuala kiasi kwamba tunalazimika kutopeza muda na wengini kupanic kutokana na hudumu yako kuwa inahitajika haraka....?
Nne, Sisi tunakwama wapi mbona wenzetu huko nje haya mambo ya mitandao kuwa chini hamna...?
Tano, Muda tunao poteza kusubiri mtandao urudi tunalipwaje maana muda ni mali...?
Sita, Inapotokea hali kamaa hii hakuna njia mbadala...?
Naombeni nipate majibu ya maswali yangu kwenu wataalamu wa Jf na suluhu ya hili tatizo.
Natanguliza shukrani kwenu.
Naomba kuwasilisha.