Tumia mitandao kwa faida

Tumia mitandao kwa faida

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,641
Hello Jforums
ikiwa ni juma pili njema yenye kupendeza machoni kwa bwana,leo ningependa tuelimisha mawili matatu juu ya baadhi ya mitandao ambayo inaweza kukusaidia kwa namna moja ua nyingine.

Kuna baadhi ya mitandao unaweza kutumia bila faida ila nyingine zinaweza kupa faida.

Leo nakutajia baadhi kwa matumizi yangu inaweza kukufaa na ww kuitumia.

Tunaanza na

GOOGLE MAP:apps hii inafaa kuwa nayo na inaumuhimu mkubwa.
Inakusaidia kujua umbali wa sehemu moja au nyingine kwa njia ya gari au mguu,baiskeli na bus,pia hii apps inakuonyesha njia zote fupi na ndefu na zenye foreni pia na muda utakaosafari na muda unaobaki kufika mahali husika,kwa nchi zilizo endelea hii pia inasaidia kutruck bus,inakujulia muda itakayofika na vitio vyake,hata kama leo hamna bas itakuja,alaf inakusaidia huskimbilie kituoni wakati gari kuna uwezekano wa kuchelewa au lisifike.

COURSERA: HII apps inakusanya vyuo mbali mbali ambavyo vinatoa course online cha kufanya ni kudownload apps hii then utajisajili ndo utatafuta unachotaka kusomea au chuo unayotoka.

GOOGLE BUSNESS: haswa hapa ndo mahali pake,ukitaka kufanya biasha online na kuitangaza hapa ni mahali pakee.
Apps hii inaitaji wewe uwe na account ya google na ni bure na baada ya hapo unaweza kufuata maelekezo,
Itakusaidia kuweka aina ya biashara unayofanya,muda wa duka lako linapofunguliwa na kufungwa,vile vile itawasaidia wateja kutafuta biashara yako kwa urais na mahali ilipp biasha yako na huduma zote unazotoa zitaonekana.
Mfano kwenye duka lako kuna free parking,wateja wako kabla ya kuja dukani kwako watajua kuwa dukani kwako kuna parking inayopatikana.ikiwa kuna punguzo la bei,hvyo hvyo itawajulisha wateja kuna offer inapatikana

FACEBOOK ADS NA GOOGLE ADS;ukitaka biadhara yako iwe maafuru au kitu chochote unataka kijulikane na watu wengi basi apps hizo mbili zinakufaa ila zinatofautiana kimatumizi na kila moja ina njia yake ya kulipia tanganzo.unaweza kuchagua mwenyewe tanganza lako liwafikie wa kina nani na wapi na watu wangapi
Binafsi napendelea google kwa sababu hii inachukua malipo ilioifanyia kazi,ila facebook ianakata kulingana na muda.
Kutumia google ads uwe tayari na google my busness,na kutumia facebook ads uwe tayari na facebook page.

AMAZON:hii apps ilianzishwa kwa lengo la kuuza vitabu mtandaoni ila saivi ilijipanua zaidi,unaweza kukutumia unachotaka kwa amazon na kukipata kwa muda muafaka,kwa nchi ya marekani huwa ni siku moja hadi 5 ila inaweza kuzidi kulingana na dharura za kusafirisha mzigo ila usafiri ni wa huakika maana wana mpaka magari yao.ila hawauzi magari,ndege,.kunapatikana spea za baadhi za gari.

PAYPAL:kwa vile mimi uwa sipendi kutumia kadi yangu ya bank mtandaoni kwa kuofia usalama na nina nia ya kununua bidhaa mtandaoni kwa kukosa muda wa kwenda dukani,basi uwa najihakikishia usalama na paypal.hii apps inakusaidia kulipa,kutuma,kupokea pesa mtandaoni,hii ni salama na unawezakupokea pesa kupitia link yako,namba zako za simu nk...
Badala ya kutumia kadi sehemu hisio kuwa salama unaweza kutumia paypal kufanya miamala ya kulipia kitu unachotaka kununua.

ENGVID:Tembea page ya engvid.com leo kwenye simu yako ikiwa una nia ya kusoma na kuongea kingereza,website hii ina walimu mbali mbali wanakufundisha mbinu za kuongea kingereza baada ya kusoma somo moja wamekuwekea nafasi ya kujipima uwezo kama yanayofundishwa unaelewa.
Hii utumiwa sana na wanafunzi kutoka mataifa mbali mbali nchini marekani ili kukuza uwexo wao wa kuongea kingereza,

NB:Maelezo hapo juu ni kwa ufupi na nimeelezea kutokana na uzoefu wangu.na haina maana kwamba apps hzo ni bora kuliko zingne na zingine nyingi sijazitaja.
Na wewe unaweza kutupa uzoefu wako lengo likiwa kuelimisha
 
asante sana mkuu
hapo unaposema huwa unakosa muda wa kwenda dukani hivyo inabidi uagize vitu mtandaoni
je ni vitu gani hasa wewe huagiza na je huwa unavipata vyote bila kupotea hata kimoja
 
Vitu vingin unaweza kuqngza mtandaoni kupitia maduka mabl mbali,na ikakufikia kwa wakati na uwa vinavika kama nilivyoagza.hata nyanya naweza kuagza mtandaoni.ils mm mara nyng napendelea kuagiza,simu,xomputer,viatu,nguo nk..sijawahi kutapeliwa
 
Ningependa kufahamu zaidi kuhusu Facebook page..
No kwanamna gani itaniingizia kipato?
Hii ni kama vile inakupa promo ya kujitsngaza ujulikane,kwa mfano unaduka lako kinondoni na unataka bidhaa zako ziwe maarufu,unaweza kutengeneza page duka lako la biashara kwaajili ya kulitangaza duka lako,hii itakusaidia kujilisha wateja wako duka lako wapi linapatikana(eneo),bidha inayopatikana,.
Vile vile unaweza kuweka link ya website ya biashara yako,hii itakusaidia kuwapata watembeleaj wengi wa biashara yako.
Unaweza kufanya vingi ukiwa na page ya facebook ila huduma za kutangaza biashara unalipia kuanzia dollar 1 na kuendelea,n wewe mwenyewe unataka liwafikie wapi wa ngapi na ni vizuri kuweka post nzuri ili watu wakusaidie kushare inaweza fka mbali zaidi ya pesa uliotoa
 
Hello Jforums
ikiwa ni juma pili njema yenye kupendeza machoni kwa bwana,leo ningependa tuelimisha mawili matatu juu ya baadhi ya mitandao ambayo inaweza kukusaidia kwa namna moja ua nyingine.

Kuna baadhi ya mitandao unaweza kutumia bila faida ila nyingine zinaweza kupa faida.

Leo nakutajia baadhi kwa matumizi yangu inaweza kukufaa na ww kuitumia.

Tunaanza na

GOOGLE MAP:apps hii inafaa kuwa nayo na inaumuhimu mkubwa.
Inakusaidia kujua umbali wa sehemu moja au nyingine kwa njia ya gari au mguu,baiskeli na bus,pia hii apps inakuonyesha njia zote fupi na ndefu na zenye foreni pia na muda utakaosafari na muda unaobaki kufika mahali husika,kwa nchi zilizo endelea hii pia inasaidia kutruck bus,inakujulia muda itakayofika na vitio vyake,hata kama leo hamna bas itakuja,alaf inakusaidia huskimbilie kituoni wakati gari kuna uwezekano wa kuchelewa au lisifike.

COURSERA: HII apps inakusanya vyuo mbali mbali ambavyo vinatoa course online cha kufanya ni kudownload apps hii then utajisajili ndo utatafuta unachotaka kusomea au chuo unayotoka.

GOOGLE BUSNESS: haswa hapa ndo mahali pake,ukitaka kufanya biasha online na kuitangaza hapa ni mahali pakee.
Apps hii inaitaji wewe uwe na account ya google na ni bure na baada ya hapo unaweza kufuata maelekezo,
Itakusaidia kuweka aina ya biashara unayofanya,muda wa duka lako linapofunguliwa na kufungwa,vile vile itawasaidia wateja kutafuta biashara yako kwa urais na mahali ilipp biasha yako na huduma zote unazotoa zitaonekana.
Mfano kwenye duka lako kuna free parking,wateja wako kabla ya kuja dukani kwako watajua kuwa dukani kwako kuna parking inayopatikana.ikiwa kuna punguzo la bei,hvyo hvyo itawajulisha wateja kuna offer inapatikana

FACEBOOK ADS NA GOOGLE ADS;ukitaka biadhara yako iwe maafuru au kitu chochote unataka kijulikane na watu wengi basi apps hizo mbili zinakufaa ila zinatofautiana kimatumizi na kila moja ina njia yake ya kulipia tanganzo.unaweza kuchagua mwenyewe tanganza lako liwafikie wa kina nani na wapi na watu wangapi
Binafsi napendelea google kwa sababu hii inachukua malipo ilioifanyia kazi,ila facebook ianakata kulingana na muda.
Kutumia google ads uwe tayari na google my busness,na kutumia facebook ads uwe tayari na facebook page.

AMAZON:hii apps ilianzishwa kwa lengo la kuuza vitabu mtandaoni ila saivi ilijipanua zaidi,unaweza kukutumia unachotaka kwa amazon na kukipata kwa muda muafaka,kwa nchi ya marekani huwa ni siku moja hadi 5 ila inaweza kuzidi kulingana na dharura za kusafirisha mzigo ila usafiri ni wa huakika maana wana mpaka magari yao.ila hawauzi magari,ndege,.kunapatikana spea za baadhi za gari.

PAYPAL:kwa vile mimi uwa sipendi kutumia kadi yangu ya bank mtandaoni kwa kuofia usalama na nina nia ya kununua bidhaa mtandaoni kwa kukosa muda wa kwenda dukani,basi uwa najihakikishia usalama na paypal.hii apps inakusaidia kulipa,kutuma,kupokea pesa mtandaoni,hii ni salama na unawezakupokea pesa kupitia link yako,namba zako za simu nk...
Badala ya kutumia kadi sehemu hisio kuwa salama unaweza kutumia paypal kufanya miamala ya kulipia kitu unachotaka kununua.

ENGVID:Tembea page ya engvid.com leo kwenye simu yako ikiwa una nia ya kusoma na kuongea kingereza,website hii ina walimu mbali mbali wanakufundisha mbinu za kuongea kingereza baada ya kusoma somo moja wamekuwekea nafasi ya kujipima uwezo kama yanayofundishwa unaelewa.
Hii utumiwa sana na wanafunzi kutoka mataifa mbali mbali nchini marekani ili kukuza uwexo wao wa kuongea kingereza,

NB:Maelezo hapo juu ni kwa ufupi na nimeelezea kutokana na uzoefu wangu.na haina maana kwamba apps hzo ni bora kuliko zingne na zingine nyingi sijazitaja.
Na wewe unaweza kutupa uzoefu wako lengo likiwa kuelimisha
Ahsantee boss
 
Unatumia app gani mkuu kuagiza
Vitu vingin unaweza kuqngza mtandaoni kupitia maduka mabl mbali,na ikakufikia kwa wakati na uwa vinavika kama nilivyoagza.hata nyanya naweza kuagza mtandaoni.ils mm mara nyng napendelea kuagiza,simu,xomputer,viatu,nguo nk..sijawahi kutapeliwa
 
Nimependezewa na iyo "google my business" nakabiashara kangu, nafikiri natakiwa kufungua account asee...
 
Back
Top Bottom