Msaaada Application Nzuri ya Ku hide SMS Calls Photos kwa Android .

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
216
Habarini wadau kama hapo kichwa kinavyojieleza naomba msaada wa kupata Application nzuri ya kuficha SMS calls au photo kwa Android ukitaja jina lake kama ipo play store au link yake ya ku download kama haipo play store nitashukuru sana.
 
Ukifungua utaona hivi.. Jus download.. Then install
 
Attachments

  • Screenshot_2016-03-06-01-02-17.png
    Screenshot_2016-03-06-01-02-17.png
    11.8 KB · Views: 231
vault ndo mpango mzima, utaweza kuhide SMS, calls,picha,videos, pia ina cloud backup unaweza kuhifadhi hadi GB.1 ya info zako, na ukiwa na premium version unahifadh had 1000GB
itakusaidia kurudisha hata picha na video zako pind unapodelete kwenye SD card..
jaribu uone
 
Mimi nina app nilitengeneza mwenyewe inaitwa "image cloack" sikuitupia playstore lakini ukihitaji naweza kukurushia, unachofanya ni kuipa picha password, yenyewe inatumia ile password ku-encrypt picha, ina-shuffle pixels kulingana na password yako kwa hiyo picha inakua ka uchafu, ili kuirudisha picha into original inabidi upatie password, ukikosea password inaleta uchafu tu. Mfano wa screenshot angalia picha original alafu angalia ukiipa password inavyofanywa hapo chini,

Unlike applications nyingine, ya kwangu unaweza hata ukamtumia mtu picha hii ambayo imefichwa, kama ana app hii ukimpa password basi ataweza kuiunlock, alafu software zinazoficha ukweli sio kwamba zinaficha, zinaweka kwenye hidden folder tu na kubadilisha extension lakini ukisema utumie computer unaweza kuzipata, hii haifanyi hivyo, hii picha inakuwepo sema tu inaonekana ka uchafu hadi uwe na software yangu kuiunlock.

original.png

originalshuffled.png
 
View attachment 328019

View attachment 328018

app yako inaweza kufanya backup? mfano nikiunstall application then nikainstall kwa baadae.. itarudisha pics zilizokuwepo? vip kuhusu video na sms inaficha?
 
app yako inaweza kufanya backup? mfano nikiunstall application then nikainstall kwa baadae.. itarudisha pics zilizokuwepo? vip kuhusu video na sms inaficha?

Uki-uninstall huku hujairudisha hiyo picha into its original form itabaki kama ilivyo, hutoweza kuiona, ukitaka kuiona itakubidi uinstall application tena alafu urecover hizo images, zitarudi kwenye original form yake sababu algorithm ya encryption ni ile ile tu.

Hai-deal na videos wala sms, hii nimeitengeneza fasta tu ndani ya siku mbili sikutaka kuicomplicate sana na features, na sikuona ina maana ndio maana hata sikuitengenezea icons na kuitupia playstore, lakini hapa ilipo sasa hivi inafanya kazi vizuri tu, hiyo picha nime-iencrypt kwenye app na kuirecover kabla sijai-upload.
 
Kwa SMS tumia Go SMS nenda apkhere.com search for Go SMS then download it. Unaweza kuificha private inbox ukajua wewe mwenyewe PA kuipata,ukiingia settings utapata maelekezo.
Kuhusu picha tumia Keep safe inapatikana playstore.
 
MFANO MIMI NATAKA KUFICHA ICON YA APPLICATION KTK ANDROID JE NATUMIA APP GAAN??? YAANI MFANO SITAKI ICON YA FB IONEKANE NAFANYAJE??? AU NATUMIA APP GAAN??
 
MFANO MIMI NATAKA KUFICHA ICON YA APPLICATION KTK ANDROID JE NATUMIA APP GAAN??? YAANI MFANO SITAKI ICON YA FB IONEKANE NAFANYAJE??? AU NATUMIA APP GAAN??
Install launcher inaitwa MINI LAUNCHER. Haipo play store, igoogle tu. Unaweza kuhide hata app zote ukitaka. Ni bomba sana.
 
Back
Top Bottom