kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 409
Wakuu poleni na majukumu.. Hivi kwa tatizo hilo hapo nafanyaje kulitatua na garama zake? Asanteni
Mkuu kioo cha nch 24 Bei ganiNunua nyingine bruh. Syo kwa kejeli bali kwa aina ya tv, hamna tofauti na kununua nyingine.
Mkuu Bei gani kioo nchi 24Ni kununua kioo
Fundi ananiambia kioo ndo shida hivi Bei zake zikoje mkuu nch 24
Mkuu si ungemuuliza huyo fundi bei ya kiooFundi ananiambia kioo ndo shida hivi Bei zake zikoje mkuu nch 24
Mimi TV yangu 32 ilikuwa na shida kamat v yako nilienda kariakoo nikapata kioo nikaambiwa 300 ,000 na kufunga 50 nikaona bora ninunue nyingine .nikaamua kununua nyingineFundi ananiambia kioo ndo shida hivi Bei zake zikoje mkuu nch 24
Mkuu Bei gani kioo nchi 24
Wakuu poleni na majukumu.. Hivi kwa tatizo hilo hapo nafanyaje kulitatua na garama zake? Asanteni