MSAADA KWA WATAALAM WA WORDPRESS THEME

HARAKATI ZOTE

Senior Member
Mar 6, 2016
159
78
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuweka sawa site yangu niliyowetengeza kwa wp,nna issue moja kwenye related post, nilihitaji zikae chini ya post lakin hii inaonekana pembeni ya post.

1566832038912.png
 
Hello mdau wa WordPress,
Unatumia theme gani katika hili? Unaweza kucheza na custom template alongside CSS kuachieve hii vizuri Sana. Pia, inategemea plugin unayotumia. Ikiwa na shortcode au PHP code yake, unaweza kuiweka hapo pia. Ni DM ukihitaji consultation zaidi
 
natumia sahifa mkuu, nakuja inbox
 
Back
Top Bottom