Mfano hapo kwenye azam, hizo logo aliwekaje?Njia rahisi ni kuandika kwa kutumia WhatsApp.
1.ingia kwenye Status, chagua sehemu ya kuweka status za text.
2. Chagua Background colour au theme unayoitaka
3. chagua mwandiko/ Font unayotaka
4. Andika ujumbe wa maneno pia waweza weka na Emoj
5. post ujume
6. angalia ujumbe uliopost
7.Screenshot au Captrure ujumbe wako.
Hence:
wakati wa ku capture au screenshot ujumbe tumia Vol. down + Power button na kama unatumia Samsung tumiaHome button na Power button
Utakuwa unatumia technoImegoma kwangu
Nasubiri jibu. Kuna wale wanaweka Hadi nembo za timuMfano hapo kwenye azam, hizo logo aliwekaje?
Photoshop kwa PC, kwa simu unaweza fanya pia ila utahitaji multiple apps kufanikisha.Nasubiri jibu. Kuna wale wanaweka Hadi nembo za timu
Download app inaitwa PixelLab inafanikisha mahitaji yako yote kama ww ni pro kwenye graphic design tumia Adobe PS Touch zote ni app za simu ila PixelLab ni rahisi sana kutumia.Nasubiri jibu. Kuna wale wanaweka Hadi nembo za timu
Thanks for your help. Ngoja nizameDownload app inaitwa PixelLab inafanikisha mahitaji yako yote kama ww ni pro kwenye graphic design tumia Adobe PS Touch zote ni app za simu ila PixelLab ni rahisi sana kutumia.
SanteeDownload app inaitwa PixelLab inafanikisha mahitaji yako yote kama ww ni pro kwenye graphic design tumia Adobe PS Touch zote ni app za simu ila PixelLab ni rahisi sana kutumia.
Tumia PixellabNasubiri jibu. Kuna wale wanaweka Hadi nembo za timu