Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Habari za humu wakuu,
Nipo na pc yangu sasa kuna mtu aliweka flash yake kumbe ilikuwa na viruses, kinachofanyika ni kwamba wanakula kila application setups.
Kila application iliyo kwenye pc yangu imekuwa reduced to 0 bytes hivyo kupelekea kutoweza kufungua application nyingi sana isipokuwa zile built in application.
Je naweza fanya kitu gani kuweza kumaliza hili tatizo??