Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
Wanasema eti kuwa n ngumu ku unlock iPhone kutokana ina high security lakin ukiingia utube, kuna washikaji wakihindi, Mara wazungu vlee... wana unlock hizo simu hii imekaaje wataalam wa mambo hizi
Kuna mtu hata mmoja aliyefanikiwa juu yake hii issue!!?
Kuna mtu hata mmoja aliyefanikiwa juu yake hii issue!!?