NATAKA UNDA DRONE UAV KUBWA NAHITAJI.MSAADA KISHERIA

NATAKA UNDA DRONE UAV KUBWA NAHITAJI.MSAADA KISHERIA

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
638
Reaction score
581
Habari.wanaTeknolojia
Nina wazo na tayri majaribio kadhaa yashafanyika nje ya mji na makaz ya watu. (porini)., LENGO la project hiyo ni kutrack magari kuyafuatilia ili kubaini madereva wazembe barabarani. na wanaosinzia. hasa magari ya abiria

magari hayo yatafungwa kifaa chenye ID itacho unganishwa na drone itayokua inafata gari hilo
iwapo gari litaonekana kahama site yake au kuyumba drone iyo itatuma taarifa katika kifaa kilicho katika gari na kupiga alarm, na kuzuia mafuta.

pia gari litapo overtake sehem isiyoruhusiwa au kupishana kwa njia hatari drone itatuma taarifa Central Control Office ambapo CCO ITATUMA VOICE NOTE kwa dereva alietenda kosa. na kumtaka awe makini.

Pia Kumekua na madereva mabasi kwenda mwendo kasi maeneo yasio na police Drone hiyo itatembea kwa speed sawa na gari inavyotembea pindi inapokaribia sehem kuna speed 50 drone itatuma taarifa kwa kifaa kilicho katika gari kumtaarifu dereva apunguze speed mbele. pia drone hiyo kwakua ipo Juu itamonitor barabara object zilizopo iwapo barabara imefungwa ,kuna mawe au kuna ajali taarifa itatuma moja kwa moja katika gari na dereva atajulishwa km kadhaa kuna kitufulani. pia drone hizo zikipisha angani zitashare taarifa y hatari barabarani zilikopita pia taarifa za hatari zaidi zitatumwa CCO ambao wao wakiona Hatari kubwa watataarifu Mabasi yanayokuja njia hiyo, Napia kujulisha POLICE waliokaribu hatari sehemu husika na pia CCO kuruhusu drone iliyo karibu kwenda eneo la tukio kurecord hali iliyopo na kutuma picha CCO NA POLICE iwapo ni tukio la kijambazi au utekaji drone itarima light, na itamonitor itakua Live na CCO pamoja na Police ili waweze dhibiti wahalifu haraka. na kisha CCO kurudisha drone katika id yake.

zipo feature nyingi lakini izo chache ambayo ipo kifungu 1 nahitaji msaada wa kisheria
kuruhusiwa kurusha drone, na taratibu za kufanya testing kakita barabara zetu na vyombo vya ushafiri.
 
Not bad for the idea but its methodology is in the hard-way

There are many alternatives than using drone for all those car tracking features.

Drone has limitations in using it including
Authorities, Cost and increased complexity

To track a car using a drone on air for 3 hrs from Dar to Iringa...What is its power source, the weight, how big is the drone?.. complexity and expensive.

You could do it using a couple of embedded systems tools like
1. GPS module embedded on the truck that reads the location of the car
2. Speed sensors/transducers, that measures and sends the car speeds(not necessary to the car tires or dashboard )
3. Some sensors to monitors everything you want on the particular truck
4. Micro-controller/microprocessor...self explanatory
5. IoT and/or GSM modules these receives and sends info's to the web server or Police station, say.
6. DC Power supply ( rechargeable battery and solar as optional)

The advantage of this over drone method is that there is no authorities interference and it is reliable.
 
Sijui sheria, but nimependa Idea yako. Mungu akuongoze ufike pale ulipokusudia.
All the best.
 
Hautaruhusiwa sababu kubwa ni muingiliano angani.
Usalama wa sehemu salama kama Ngerengere.

Kingine drone utakuwa nazo ngapi kufanikisha uangalizi wa magari zaidi ya 500
 
Kuna magali zaidi ya 500 ya abiria kwa siku,je umeconsider uwezekano wa drone kuwa nyingi angani na kucolide??au umefunga sensor ziwe zinapishana??
 
Wazo zuri ila naona linabaki kuwa lakufikirika
Resources utazitoa wapi za magari zaidi ya 400+ bado cost of maintainance source of energy yake itakuwa ni ipi
Interms of sheria itakupasa uwe na mkono mrefu sana drone sasa hivi hazifanyi kazi bila kibali je watakuruhusu uwe na zaidi ya drone 1000 angani per time ,pia issue za kiusalama ? ........haya magari yanaendeshwa na binadamu je perfection ya iyo system yako nadhani itakuwa usumbufu sana unadeal maadui wengi hapa .....nsamehe kama ntakua nimekukatisha tamaaa ila ni maoni yangu tu
 
Wazo halifai labda ubadiri drone iwe ni kwa ajiri ya kuchubguza uharifu kwenye mbuga za wanyama.
Kwa magari sio feasible kuna mafari zaid ya mia 5 utakuwa na drone ngapi? Hizo drone za kufuatilia magari from dat to mbeya source ya power itakuwa nini.
 
Back
Top Bottom