Naomba ushauri ninunue simu ipi kati ya hizi?

A20 ina super amoled display, A10 ina IPS display

tofauti kubwa sana iyo, super amoled ni superior to IPS

a. inatengeneza deep colors (blackest black, whitest white, deep RGBs)
b. hakiitaji 'backlight', hivyo hakilivyonzi battery ukikompea na IPS
 
tofauti kubwa sana iyo, super amoled ni superiror to IPS

a. inatengeneza deep colors (blackest black, whitest white, deep RGBs)
b. hakina 'backlgiht', hivyo hakilivyonzi battery ukikompea na IPS
Asante kwa ushauri mkuu.
 
Kwa kuongezea...A20 ina fast charging 15W...inachaji full battery ya 4000mA less than 2 hrs compare na hyo A10 ya 3400mA but ni more thañ 3 hrs...pia A20 ina RAM ya 3GB hyo A10 ina 2GB...A20 ina Fingerprint scanner hyo A10 haina...Nimeona watu wanalalamika position ya spika ya A10 kuwa nyuma na pia wanasema haina compass...All in all it's your choice n budget as well.
A20 ina super amoled display, A10 ina IPS display

tofauti kubwa sana iyo, super amoled ni superior to IPS

a. inatengeneza deep colors (blackest black, whitest white, deep RGBs)
b. hakiitaji 'backlight', hivyo hakilivyonzi battery ukikompea na IPS
 
Boss hiyo 13 Watts ni Ni power rating ya kucharge simu. Sio Energy stored in Battery
ndio maana napenda kubaki na mid end versions za Samsung (S4 kushuka chini) , sasa apo si unatembea na solar power kabisa yenye kuwasha taa 3, tv, deki, dekoda :(:( (joking)

sishangai kwanini zile Sx zilikua zinalipuka
 
Boss hiyo 13 Watts ni Ni power rating ya kucharge simu
i know that, 15W ni kubwa mno kwa charger , ina maana ina supply amps kama 15/4.2 = 3.6 A ivi ( kwenda kwa battery) , ni too much kwa circuitry ya simu ku handle kiasi icho , izi ni 'mobile bombs' basi tu

na hatari ni pale battery inapovuta (charging) au kutoa (discharging) amps kubwa, na ndio sababu kubwa kwanini izi S6 and above zina over heat mno
 
Unashangaa 15W? High-end Kama note 10+ na ndugu zake chaja zao Ni mpaka 45W.
 
i know that, 15W ni kubwa mno kwa charger , ina maana ina supply amps kama 15/4.2 = 3.6 A ivi ( kwenda kwa battery) , ni too much kwa circuitry ya simu ku handle kiasi icho , izi ni 'mobile bombs' basi tu

na hatari ni pale battery inapovuta (charging) au kutoa (discharging) amps kubwa, na ndio sababu kubwa kwanini izi S6 and above zina over heat mno
Kwa hiyo hiyo hatari Samsung hawajaiona uione wewe wa Tandale.
 
Mkuu kesi ya Samsung Note 7 kulipuka gasa ilikua ni arrangement ya battery ndani ilikua imebanwa sana na cooling system haikua nzuri thats why zilikua zikipata heat sana na kulipuka zenyewe.
ndio maana napenda kubaki na mid end versions za Samsung (S4 kushuka chini) , sasa apo si unatembea na solar power kabisa yenye kuwasha taa 3, tv, deki, dekoda :(:( (joking)

sishangai kwanini zile Sx zilikua zinalipuka
 
Kama umefuatilia Flagship za sa hv zina special cooling system so huwezi kuta Samsung S10 au Note 10 inaheat kiajabu ajabu...it's all about technology mkuu...
i know that, 15W ni kubwa mno kwa charger , ina maana ina supply amps kama 15/4.2 = 3.6 A ivi ( kwenda kwa battery) , ni too much kwa circuitry ya simu ku handle kiasi icho , izi ni 'mobile bombs' basi tu

na hatari ni pale battery inapovuta (charging) au kutoa (discharging) amps kubwa, na ndio sababu kubwa kwanini izi S6 and above zina over heat mno
 
Na hata Huawei Mate 30 pro nlisikia wana mpango wa kuja na 55W.....kwa dunia ya sasa hasa 2019 ni uzembe kupoteza masaa matatu kuchaji whike you can full charge within one hour...
Sometime unakurupuka asubuhi umesahau kuchaji simu, ukiwa na fast charge kitendo Cha kwenda kuoga na kuvaa dakika kama 30 unakuta simu Ina asilimia 80 tayari. Inasaidia Sana kusema kweli.
 
Back
Top Bottom