Tatizo la kuupload picha jf Kwenye simu yangu

Introver

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
484
544
Salam hope mu wazima
Ni hivi wadau huwa natumia chrome kuingia jf sasa tatizo nikiupload inaandika low memory wakati simuyangu ina spase ya gb 3(hapo namaanisha spase iliyo baki)wajuzi naomba msaada
 
Update hiyo chrome kwanini old version huwa inasumbua
Pia jaribu Firefox ikopoa
Alafu Leta mrejesho
 
Back
Top Bottom