MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

Manjeta

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
393
Reaction score
239
Habari wakuu poleni na majukumu..Nina simu yangu HTC DESIRE niliinunua kwa mtu kama miezi mitatu iliyopita na nikawa naitumia kama kawaida. CHA AJABU leo jioni nilivyoingia Facebook simu ikaji-RESTART halafu kuna namba ngeni ikawa inapiga lakini nilivyotaka kupokea ikagoma ikajizima tena na kujiwasha, mara baada ya kuwaka ukatokea ujumbe kwenye screen ukisomeka "RUDISHA SIMU YANGU" Punde tu ikajizima tena...nikaiwasha naona IMEJIFORMAT nikaanza kuchagua lugha na inadai EMAIL na PASSWORD.......MSAADA TAFADHALI Maana hata sijui ndo HACKERS kwenye ubora wao au ni vipi.
 
Unakumbuka app ambazo ulizipakua labda kutoka unknown source au hata PS tofauti na Facebook na ndugu zake?
.
Kuna app za kijinga sana huwa zina run background hasa wakati data zikiwa on na sim kama imeelemewa na mzigo au kuOver heat inaweza kupelekea hali hiyo
 
Rudisha Simu kwa mwenyewe. Chukua namba hiyo inayoonekana kwenye screen wasiliana nae kabla hajaenda kuripoti polisi. Kuwa mstaarabu mkuu
Screenshot_20190830-233240.jpeg
 
Simu ya wizi hiyo,sasa mwenyew anaitrack...mpigie jamaa kwa namba iliyotokea hapo mwambie ulipo umpe simu yake.
 
Jamani mbona mnanitisha tena..!?
 
Unakumbuka app ambazo ulizipakua labda kutoka unknown source au hata PS tofauti na Facebook na ndugu zake?
.
Kuna app za kijinga sana huwa zina run background hasa wakati data zikiwa on na sim kama imeelemewa na mzigo au kuOver heat inaweza kupelekea hali hiyo
Hakuna app nilizodownload za design iyo
 
Nakushaur urudishe cm ya watu kabla hujamatwa na kupewa kesi ya wizi wa mali na pesa nyingi
 
hiyo simu ni ya wizi irudishe kiroho safi, mwenye nayo anaitrack rudisha tu ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom