Apple inayumba Ingawa Bado ni Kigogo
Apple wametangaza mambo mawili makubwa, awali wametangaza matokeo ya mapato katika robo ya kwanza ya mwaka 2013. Pili wametangaza mkutano rasmi wa...
NOTE: Kwa attachment ambazo hazifunguki nenda chini kidogo baada ya uzi( kwenye comments) utakuta picha kwa mtiririko huo huoo,
HUU NDIO MZIGO WALIOTOA SAMSUNG Huko San Francisco Marekani Katika...
Jana Tarehe 25 Feruary katika Maonesho ya Simu ya MWC Kampuni ya Samsung imezindua Simu mbili mpya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy S9+. Mtaawasaba imefanya uchambuzi wa kina katika simu hizi...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Rasmi mtengenezaji wa App ya WhatsApp iliyoboreshwa 'GB WhatsApp' Atnfas Hoak amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter kuzima huduma hiyo na haitoendelea...
Android ni mfumo endeshi ulioanzishwa na mtaalamu aitwaye Andy Ruben.
Kwa kawaida neno Mfumo endeshi kizungu tunaitwa Operating System. Andy Ruben ndio mwanzilishi wa huu mfumo endeshi wa android...
Habarini Wakuu......Wenye ujuzi na Android Tv Box,vpi kuhusu ufanisi wake kulingana na internet yetu na maduka gani zinaweza kupatikana na bei zake.....naona ebay zinarange 3O-80$
hellow guys niaje....
the freedom here
sasa leo embu tuangalie hiii zagaaa inaitwa UTOPIA
kama tunavyojua kwamba tukiwa kwenye network tunakuwa controlled na mashirika yanayomiliki service ambayo...
Habari wana ndugu. Nimejaribu kufuata procces zote kwenye setting then about phone then Build number nimebonyeza pale sanaaaaa lakini hainipi developer option.
Msaada anayeweza hii kwenye tecno...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, Leo Tutajaribu Kuwekana Katika Hali Ya Usawa Kuhusu JINSI YA KUANDIKA NAMBA KATIKA HALI YA SEHEMU
BISMILLAAHI
Mfano Unataka Kuandika ½ +...
Wadau,hasa wataalamu,nimenunua hii camera kwa sh laki moja,
Sijui nimeliwa au vipi maana hii mambo zina ufahamu wake,
From Japan ila haina memory, jamaa kasema nikanunulie tu haina shida.
Sasa...
Wakuu samahani naomba msaada wajuzi wa tech. Nimenunua laptop ndogo hapa dell nimeikuta ina windows 7 ila inaandika window expired.
Hebu naombeni kueleweshwa jinsi ya ku update maana sina...
Habarini wadau
Nina swali hapa kuhusu iPhone yanye icloud naweza nunua motherboard mpya ambayo haina icloud nikaifunga na sim ikawa ina function kawaida
Je will it last forever in terms of...
Wazee wenzangu kama kichwa kinavyosema, nina pc kitambo nilikuwa situmii, nimeicheki bado inapiga kazi safi, nina idea fulani ya kazi,je hii mashine itanifaa kwa kazi zangu!? Kazi ya video editing...
I am a 3dartist/ designer based in Daresalaam
To day i have passion to share with JF members
Some of my photo and Video Design in physical reality from 3D softwares, I’m doing it only because of...