Nakumbuka Mimi na mchizi wangu flani tulitaka kutengeza cartoon afu tuziuze na kuzitembeza mashuleni.....
Ah ni na mchizi wangu tukazamia kwenye code...
Shout out to LAULAU!
Hapo ndo kimbembe man lakin jamaaa kwa mambo ya penseli ndo yake lakini Mimi nlichoplan yeye atakufa na graphix mimi ikawa ni kutafta story moja matata!katuni ili zivutie lazime uwe smart kwanzia kwenye penseli Ha haaa
Ungependa nikutengenezee Mkuu
Cool...Yap Nipo vizuri pia kwenye Aftereffect