Ifahamu UTOPIA decentralized network for Hackers na computers Experts

Thefreedom

JF-Expert Member
Jan 27, 2019
319
313
hellow guys niaje....
the freedom here
sasa leo embu tuangalie hiii zagaaa inaitwa UTOPIA

kama tunavyojua kwamba tukiwa kwenye network tunakuwa controlled na mashirika yanayomiliki service ambayo unatumia na kukuwezesha uwe jamiii forums, charting pia hata kuperuziiii sehemu mbalimbalii.

sasa wengi hufikiri kwamba kutumia ma VPN na other apps ambazo zina change ip tables zako inatosha kukulinda ukiwa online, hapana sio kweli
ukiwa online unakuwa controlled na third part companies hat pia mto huduma wako ..so ur routing , na kila unachofanya kinakuwa kinaonwaaa na unaweza kufuatiliwa.

sasa hackers wengi huwa wanatumia huduma mbadala za networks mfano IRC server channels ili kulinda privacy zao. LINK https://beta.u.is/home

how-it-works.png

hivo Basi UTOPIA hiii ni new network ambayo bado iko kwenye maboresho itakayo kusaidia wewe mtumizi wa siri wa network kuhide ur identy, data, na informations zako passipo kuguswa wala kusaviwa sehemu yyte ( public servers kama ilivyo kwa google).

ukiwa na UTOPIA utaweza:-

1. kusend files kwa rafiki yako 100% anonymously

2. ku create ur crypto currency card na account itakayokuwezesha kusend na kureceive payment inside ya
ya hii platform

3. utapewa email ambayo i encrpted email ambayo utakuwa na uwezo wa kusend na kureceive emails
privately

4.mining...hii kwa hackers mnaelewa na pia utakuwa unareceive payment na awards ambazo hupewa na kuelekea moja kwa moja kwenye wallet yao.

NOTE hii type ya mining haipashi moto CPU yakooo na wala kuleta shida ya hardware.

more info INGIA HAPA SOMA VIZURIII

how to install!!!!

VISIT HAPA utajiregister na kufauta maelekezo <very simple>

kisha utadownload software yao kulingana na OS yako (windows,mac,linux) note link utapewa wakati wa kuregister

baada ya hapo software ikiwaka utacreate new account ndan ya ile software na baada ya hapo utapewa public key ...just icopy then utakuja weka kwenye account yako ya online sehemu ya activation

Angalia demo video yao hapa kuelewa zaidiii https://beta.u.is/video-message

THEN just ni add as contact list use this public key 7C3A86AF3A2015A7245C73D4BAB50F286079892E74106C490529E8E2583CBF15

welcome.

1.png

2.png

3.png

4.png

card.png
 
ok Good..
1.Sasa unaitofautishaaje na zaga zengine kama TOR,ip2,emule, hii ni kama version nyengine tu za Anonymous networks? UTOPIA ni ikitu hasa professionally??

2.Unaweza kuchanganya UTOPIA na service nyengine kama TOR kwa wakat mmoja? ili upate maximum security,Privacy and Anonimity??
 
Utofaut ni kwamba hiii ni GUI den unakuwa unapewa zaga kama email, uns server , file transfer pia ina bug bounty

Ila zaga zingine ni same ...

Hiii haina haja ya kutumia tor kwasababu hiii mambo ina browser yake ila kwa kuingalia me nimegundua browser yake ina feed ur iptables so we need tor or proxychains

Ila ni moja ya zaga ambazo ni big project iko vzr sanaaaa
 
uns server...? kwaio unaweza ukahost site hapo ambapo haitakuwa accessed nje ya hiyo network ya UTOPIA? sio
 
uns server...? kwaio unaweza ukahost site hapo ambapo haitakuwa accessed nje ya hiyo network ya UTOPIA? sio
No hiii zaga sijajua maaaana nimechek sijaelewa bado maana hio sio official kaka ni beta bado haiko official thats why wameomba hackers na computer experts kuchek na wanakulipa ukiwapa bugs na improvements
 
yep nimeona kuna rewards hapo... hackers ambao wapo serious wanapiga mkwanja vizuri tu hapo..sema hizi mamb mpka uipate bug aisee uchimbe kweli kweli :D:D
 
yep nimeona kuna rewards hapo... hackers ambao wapo serious wanapiga mkwanja vizuri tu hapo..sema hizi mamb mpka uipate bug aisee uchimbe kweli kweli :D:D
:D na kweli me nimechek nikaja gundua ina feed ip tables maana mwanzo ilikuwa ukiping kule kwenye console yao nilikuwa napata ip yangu instead ya encrypted one
 
Back
Top Bottom