Jinsi ya ku-update window.

Jinsi ya ku-update window.

Kingubwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
238
Reaction score
208
Wakuu samahani naomba msaada wajuzi wa tech. Nimenunua laptop ndogo hapa dell nimeikuta ina windows 7 ila inaandika window expired.

Hebu naombeni kueleweshwa jinsi ya ku update maana sina utaalamu wowote. Katika hili..
 
Kama hutaki kubadilisha connect PC yako na internet then nenda kwenye start menu andika check update watakuletea window update then click itaanza ku update
 
Windows ambayo unaweza ukafanya update online ni windows ya mac tu. Hizo nyingine lazima uweke CD ndo ufanye update. Kwahiyo hapo kama huna ujuzi tafuta mtu mwenye CD akusaidie jaribu kuwauliza watu wa kwenye libraries wanaoingiza nyimbo watakusaidia.
 
Back
Top Bottom