Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 644
- 614
Android ni mfumo endeshi ulioanzishwa na mtaalamu aitwaye Andy Ruben.
Kwa kawaida neno Mfumo endeshi kizungu tunaitwa Operating System. Andy Ruben ndio mwanzilishi wa huu mfumo endeshi wa android na alianzisha for fun tu na baadae akatengeneza website ya android.com, baada ya kupata idea ndipo akaanza kuuendeleza huo Mfumo endeshi.
Lengo kubwa na Android ni Digital cameras pekee ila baada ya kuona kwenye digital cameras hakuna soko la kuuzia huo mfumo ndipo akahamia kwenye kuunda mfumo endeshi wa simujanja. Ndio huu tunaotumia mpaka sasa.
Andy Ruben aliendeleza mfumo wake wa Android na baadae akaamua kuunda team android ikawa jumla ya watu wanne akiwemo na mwenyewe. Kuanzia hapo mfumo endeshi uliendelea kushika kasi kabla ya kusambaa dunia nzima ndipo kampuni la Google walipoona hawana cha kushindana na makampuni makubwa kama amazon, yahoo, n.k wakafanya kikao cha siri ili waununue mfumo endeshi wa Android.
Na kabla ya kuuza huo mfumo endeshi wa android, team android walishindwa kuuendeleza kwa kukosa fedha za kuendesha projekti yao ndipo kuna rafiki wa Andy Ruben akajitokeza kumsaidia na kuwapa pesa cash zikiwa kwenye bahasha ndipo wakaamua kuuendesha na kuubadilisha kuwa advanced mpaka kampuni la Google likavutiwa na huo mfumo endeshi.
Baadae Google wakawafuata team andoid kuongea nao biashara ili waweze kupambana na makampuni yaliyoendelea kama Yahoo, amazon, n.k
Baada ya team android kukaa kikao na kukubuliana kuuza mfumo endeshi wa Android toka kwa team kwenda kwa kampuni la Google. Ndipo wakapanga bei halisi na wakaiuza.
Baada ya kampuni la Google kununua mfumo wa Android wakaamua kumpa shavu Andy Ruben awe kama developer wao ili aendeleze kuchapa codes na mpaka sasa ndio maana tunasikia kuwa Android inamilikiwa na Google.
Ila ukitaka kujua kwa nini android inapewa nguvu na Linux kernel?
Hii ni mada nyingine na nitakuja kuiendeleza humu nikipata muda.
Hii ndio historia ya Android based operating system(OS)
Imeandaliwa na Mtundu wa Tech[emoji23][emoji23][emoji23]