NATAFUTA 3HASE MOTOR

NATAFUTA 3HASE MOTOR

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,596
Reaction score
3,442
NATAFUTA ,3PHASE INDUCTION MOTOR, 15HP, 720 rpm,,mwenye nayo nicheki 0717964524,iwe mpya au used sawa tu..nipo dar.
 
mpya nenda dukani,

used nenda viwandani(mf, cha urafiki pale ubungo huwezi kosa japo ya dili)
 
mkuu motor za speed ya 720/750 rpm,nimekosa,gerezani kkoo pia nimekosa,msaada zaidi mkuu.
nenda kiwanda cha urafiki pale,huwezi kosa , japo za dili lazima upate, kuna baharia anaitwa Shamsi, yupo kitengo cha motor rewinding (sina namba yake kwa sasa) atakusaidia, naamini huwezi kosa za rpm iyo
 
Pole mkuu. Umeshapata hiyo motor?. Sina hiyo motor ila kama ni muhimu sana, nina wazo la modification. Hiyo motor unatumia kwenye machine gani?. Ni direct drive au ina-drive gear box?.
 
3 face motor kwanza ni bldc ambazo speed (RPM) ina kua controlled.na ESC. WE LABDA USEME project yako au sehem unataka iweka nikushauri
sehemu au vifaa vya kizama
 
3 face motor kwanza ni bldc ambazo speed (RPM) ina kua controlled.na ESC. WE LABDA USEME project yako au sehem unataka iweka nikushauri
sehemu au vifaa vya kizama
nadhani lengo lake ni ku avoid kutumia ESC(drive, ambazo bei zake zinasimamia kucha) , kwa kupata mota yenye fixed RPM
 
ngoja nifanye mchakato..
 
Pole mkuu. Umeshapata hiyo motor?. Sina hiyo motor ila kama ni muhimu sana, nina wazo la modification. Hiyo motor unatumia kwenye machine gani?. Ni direct drive au ina-drive gear box?.
kuna babu mpakistani kadisign ,sand drier,machine ya kukausha mchanga,inadrive gear,kwa hiyo speed inabidi iwe ndogo sana.
IMG_20190831_085901.jpeg
IMG_20190831_085847.jpeg
 
nadhani lengo lake ni ku avoid kutumia ESC(drive, ambazo bei zake zinasimamia kucha) , kwa kupata mota yenye fixed RPM
wataalam sijaelewa mnaposema ESC?au mnamaanisha VFD/VSD?alafu hiyo motor,kuna babu kadisign machine ya kukausha mchanga,speed inabidi iwe ndogo sana
IMG_20190831_085901.jpeg
IMG_20190831_085847.jpeg
 
3 face motor kwanza ni bldc ambazo speed (RPM) ina kua controlled.na ESC. WE LABDA USEME project yako au sehem unataka iweka nikushauri
sehemu au vifaa vya kizama
mtaalam sijaelewa maana ya ESC,au unamaanisha VSD/VFD?,ni hivi kuna jamaa kadisign,,sand drier,, mashine ya kukausha mchanga,speed iwe ndogo sana,motor ina drive gears
IMG_20190831_085901.jpeg
IMG_20190831_085847.jpeg
 
Nina motor ya 3 phase tatizo ni kile kibati cha specifiacation kilipigwa rangi so nashindwa kutoa detail zozote zaidi ya kujuwa ni motor ya 3 phase na ilikuwa ina tumika kwenye site kama vibrator machine.
 
Nina motor ya 3 phase tatizo ni kile kibati cha specifiacation kilipigwa rangi so nashindwa kutoa detail zozote zaidi ya kujuwa ni motor ya 3 phase na ilikuwa ina tumika kwenye poker machine.
mambo ya ufundi mkuu yanaenda kwa specification details,huwezi piga ramli,inaweza sababisha madhara makubwa sana,hasa mambo ya umeme..
 
mambo ya ufundi mkuu yanaenda kwa specification details,huwezi piga ramli,inaweza sababisha madhara makubwa sana,hasa mambo ya umeme..
Mkuu umenielewa lakini? Mimi nimechangia tu nikieleza kuwa ninayo ila sina specification so ni ngumu kueleza
 
kuna babu mpakistani kadisign ,sand drier,machine ya kukausha mchanga,inadrive gear,kwa hiyo speed inabidi iwe ndogo sana.View attachment 1193950View attachment 1193951
Pole mkuu pia hongera. Wenye hobby ya kutengeneza mitambo, hukutana na changamoto nyingi kwenye nchi zetu zinazoendelea. Kama issue ya upatikanaji wa motor imekuwa tight sana, anza kucheza na gear ratios. Tafuta gear box ambayo inatumia motor ya speed kubwa, lakini output yake ni the same na unayotaka kuendeshea machine yako. Nadhani upatikanaji wa gear box siyo issue sana tho sijawahi kuchakura soko. Pia unaweza hata jaribu diff ya gari. Ila the best solution ilikuwa ni kutumia VFD kama alivyosema mdau hapo juu. Unatumia motor yoyote, then unajipimia unachotaka. Lakini hiyo naona ni gharama hasa kwa project zetu hizi za kuelekea uchumi wa kati. Natumaini umenielewa mkuu na nitafurahi ukifanikiwa.
 
nimekupata mkuu na project yako naona mmetumia baadhi ya vyumq vya magari. tafuta katika magari kuna motor.inayotumika kuchaji.betry. iyo.motor ni 3face na ina power kubwa. pia utanunua kifaa kidogo sana kinaitwa. ESC (electronic SPEED CONTROL ) KINAUZA 5$ ALIEXPRESS THEN UTAFUNGA VARIABLE RESISTOR.AMBAYO UTAAJUST SPEED ILE UNATAKA WEWE system power ni 1vl
mtaalam sijaelewa maana ya ESC,au unamaanisha VSD/VFD?,ni hivi kuna jamaa kadisign,,sand drier,, mashine ya kukausha mchanga,speed iwe ndogo sana,motor ina drive gearsView attachment 1193960View attachment 1193961
 
DU!
nimekupata mkuu na project yako naona mmetumia baadhi ya vyumq vya magari. tafuta katika magari kuna motor.inayotumika kuchaji.betry. iyo.motor ni 3face na ina power kubwa. pia utanunua kifaa kidogo sana kinaitwa. ESC (electronic SPEED CONTROL ) KINAUZA 5$ ALIEXPRESS THEN UTAFUNGA VARIABLE RESISTOR.AMBAYO UTAAJUST SPEED ILE UNATAKA WEWE system power ni 1vl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom