Website hosting

Website hosting

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Naombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia
 
Ingia GoDaddy.com utaona maelekezo yote mkuu!
 
Naombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia
Hosting ya bure tumia 000webhost.

Jisajili halafu uanze ku-upload files kwenye hiyo webserver, kamilisha hilo kwanza baada ya hapo ndio uanze ku-set custom domain ya bure.

Domain nzuri ya bure ni Freenom.

DNS nameserver za 0000webhost ni ns01.000webhost.com na ns02.000webhost.com
 
Sawa nitafanya hivyo
 
Naombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia
Kama unataka huduma nzuri na quality tumia siteground au inmotion.
 
Back
Top Bottom