NAMNA YA KUWA DEVELOPER KWA TECNO C9

NAMNA YA KUWA DEVELOPER KWA TECNO C9

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
581
Reaction score
511
Habari wana ndugu. Nimejaribu kufuata procces zote kwenye setting then about phone then Build number nimebonyeza pale sanaaaaa lakini hainipi developer option.

Msaada anayeweza hii kwenye tecno
C9.

Mbarikiwe
 
Tengeneza simu yako ndiyo uwe developer na siyo kuchezea simu za watu mkuu!!
 
Nenda about phone kisha tafuta build number na iguse mara 7 haraka haraka hadi ikwambie kua sasa umekua developer
 
Nekwenda kote huko na kubonyeza mara nyingi lakini haileti.
Msaada
 
M
Nashukuru Now nimeweza baada ya restore simu.
Asanteni wote.
Modes please close this thread.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uzi ufungwe. Hebu tueleze faida za kuwa developer mana mimi nimejaribu hapa nimefanikiwa kuwa developer ila sijui faida na hasara. Na sioni mabadiliko
 
Back
Top Bottom