Sony camera, 5.1megapixel.MpEGMOVIEVX

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,494
5,690
Wadau,hasa wataalamu,nimenunua hii camera kwa sh laki moja,
Sijui nimeliwa au vipi maana hii mambo zina ufahamu wake,

From Japan ila haina memory, jamaa kasema nikanunulie tu haina shida.
Sasa INA sifa za ziada au dosari zake ili niwe na pre caution kabisa.
Natangulisha shukrani za dhati.
1567687918893.jpeg
1567687993843.jpeg
 
Jamaa hajui lolote shule hana,ana ndugu zake toka Japan wapo huko wanamletea mavitu mengi ya electronic s,sasa akichacha anauza,nimempa 50000 tu nimemwambia naichungiza kama no nzima lakini no mpyaaaaaaa kabisa,INA mpaka chaja yake
 
umenunuaje sasa kama hujui kama inatatizo au la. Yani camera uko nayo wewe huko halafu unauliza status yake humu JF nani atajua ikoje?

Btw, hivyo vi birthday cam viliishapitwa na wakati, ni vya kuweka tu stoo. Kama unashida na camera kanunue camera kweli sio hizo toy za kuchezea watoto.
 
Jamaa hajui lolote shule hana,ana ndugu zake toka Japan wapo huko wanamletea mavitu mengi ya electronic s,sasa akichacha anauza,nimempa 50000 tu nimemwambia naichungiza kama no nzima lakini no mpyaaaaaaa kabisa,INA mpaka chaja yake
Hizo zinaitwa point and shoot camera, Ni kwa ajili ya matumizi madogo tu ya kinyumbani Kama kupiga picha za ndugu, jamaa na marafiki, video za Hapa na pale, etc pia hio Bei sio mbaya.

Naona pia Ina Carl Zeiss, optical zoom na xenon flash, hivyo sio mbaya Sana.

Sema mwisho wa siku unahitaji hio camera?
 
Ahsante kwa ufafanuzi, WA elimu tosha kuhusu hii camera na natanguliza shukrani za dhati kabisa.
Lastly,ni Kweli naihitaji kwa matumizi ya nyumbani hasa kwa matukio madogo madogo ya kifamilia.
 
Back
Top Bottom