Online Purchase

Nicklaus

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
459
458
Jana nilienda crdb bank ili waniunganishe card yangu kwenye online purchase, sasa leo wamenitumia message inasema. Please register for VBV/ SECURE CODE in crdbbank.com, wamenipa access code, sasa hapo sijawaelewa wanataka nn wakuu, naomba msaada kwenye tuta.
 
Natumaini kuna karatasi ulipewa lenye maelezo ya jinsi ya kujiunga na MasterCard Secure Code. Fuata instructions. Link ya kuanzia ni https://secure7.es.arcot.com/vpas/CRDBBank.html.

Link hiyo inapatikana kwenye website ya CRDB crdbbank.com kama picha attached inavyoonyesha. Usizoee kufuata links za kupewa directly na kwenda kujaza details za card yako mtandaoni. Hiyo inaitwa Phishing attack na ni njia kuu ya hackers kupata taarifa zako mtandaoni jf.PNG

Kuna step mojawapo inakutaka uingize jina lako la kwanza na la kati tu instead of jina lako as shown kwenye card yako. Hapa nilikwama mpaka nilipodisregard maelezo kwenye kikaratasi na kufuata instructions kwenye hiyo system ya kuingiza jina kama linavyoonekana kwenye card na ndipo nilipofanikiwa. Watch out for that.

Hata hivyo from my experience unaweza kutumia card yako mtandaoni vizuri tu bila ya kuregister for Secure Code. In fact naweza kwenda mbele zaidi kusema kwamba sijaona mantiki wala matumizi ha hiyo registration.

Jaribu kucreate account paypal.com na kuweka card details zako uone kama Paypal itafanikiwa kucharge your account for verification. Hilo likiwezekana then you are good to go.
 
Natumaini kuna karatasi ulipewa lenye maelezo ya jinsi ya kujiunga na MasterCard Secure Code. Fuata instructions. Link ya kuanzia ni https://secure7.es.arcot.com/vpas/CRDBBank.html.

Link hiyo inapatikana kwenye website ya CRDB crdbbank.com kama picha attached inavyoonyesha. Usizoee kufuata links za kupewa directly na kwenda kujaza details za card yako mtandaoni. Hiyo inaitwa Phishing attack na ni njia kuu ya hackers kupata taarifa zako mtandaoniView attachment 496137

Asante, ntatoa mrejesho
 
Nimeenda moja kwa moja paypal na imekubali ila bado ku confirm card, hiyo code unapataje na huwa ni baada ya siku ngapi kwa hapa bongo hasa crdb.
 
Kama imekubali na inasubiri confirmation ujue tayari unaweza kuitumia card yako mtandaoni.

Hujajiunga na SIM banking? Wana huduma flani ambayo card yako ikifanya transaction yoyote unatumiwa details kwa SMS immediately. Mimi nilijaribu kuconfirm card mbili. Ya kwanza nimeshindwa hadi leo hii kwasababu ile confirmation haikuwepo kwenye SMS wala kwenye zile e-statements wanazotuma kwenye email kila mwisho wa mwezi. Ya pili iliconfirm immediatedly kwasababu nilipokea code kwenye SMS iliyotumwa kwangu na CRDB.

Kama hujatumiwa message then jaribu kufuatilia kupata account statement yako, nadhani utaweza kuiona ile transaction sambaba na code yako hapo.
 
Nashauri utumie bank tofauti na CRDB mfano Equity Bank hawana chargies unaponunua online
 
Haiwezi kukubari maana ili ikubari inabidi wakate dollar moja then kwenye bankstatement upokee code ya transaction ndo uweke paypal. Sa kwa mpesa hapo inakuaje
MPESA mastercard inakubali kuunga paypal?
 
Haiwezi kukubari maana ili ikubari inabidi wakate dollar moja then kwenye bankstatement upokee code ya transaction ndo uweke paypal. Sa kwa mpesa hapo inakuaje
ukifanyiwa deduction hua notification inakuja kwa sms, izo code zinakua attached pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom