""ghafla ikaanza kwenda slow spidim" tuanze na hapa mkuu,ikaanza kufanya nini?Jamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ghafla ikaanza kwenda slow spidim ikawa slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU YA TATIZO HILI.
ngoja ntajalibuNingekushauri kwanza uodate drivers,pili safisha pc yako hasa kwnye feni na mwsho kbsa angalia charger yako iko salama,je inapeleka umeme vizuri au eneo unaloishi lina umeme stable..
Km yote yapo okay na bado tatizo lipo,tafuta fundi mkuu
Nadhani ingekua vema angetafuta RAM kubwa zaid ya iliopo myb itakaa vema pc yakolaptop yako graphic ni ndogo pia ram yako ni ndogo ,pc yako haina uwezo wa kucheza hilo gemu
1. Taja hilo gameMWENYE KUJUA TATIZO HILI [PC]
Jamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ghafla ikaanza kwenda slow spidim ikawa slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU YA TATIZO HILI.
Jaribu kuingia folder la pes mahala ambapo ume install game utakuta file la setting kisha lifungue na ujaribu kupunguza quality ya game. Eka ndogo kabisa na resolution pia eka ndogo kabisa halafu test tena. Ikifaa unaweza ukarudi hapo na ku adjust quality kutokana na pc yako utakavyohandle.PES 14
pocessor intel(R)cre(TM)2 Duo CPU P8700@2.53GHz 2.54
RAM 3GB
ujue hapo ipo low quality ndo inafanya ivyoJaribu kuingia folder la pes mahala ambapo ume install game utakuta file la setting kisha lifungue na ujaribu kupunguza quality ya game. Eka ndogo kabisa na resolution pia eka ndogo kabisa halafu test tena. Ikifaa unaweza ukarudi hapo na ku adjust quality kutokana na pc yako utakavyohandle.
Alternative kufika hapo unaweza kwenda desktop kisha ukatafuta icon ya pes right click it kisha chagua open file location.
Kaka Mkwawa...!!?Jaribu kuingia folder la pes mahala ambapo ume install game utakuta file la setting kisha lifungue na ujaribu kupunguza quality ya game. Eka ndogo kabisa na resolution pia eka ndogo kabisa halafu test tena. Ikifaa unaweza ukarudi hapo na ku adjust quality kutokana na pc yako utakavyohandle.
Alternative kufika hapo unaweza kwenda desktop kisha ukatafuta icon ya pes right click it kisha chagua open file location.
Ikikataa inaandikaje?Kaka Mkwawa...!!?
Nina PC yangu hapa HP kila nikipiga window chini
Ina nikatalia kila ila Nina boot kupitia CD.pekee
Fan aipo sawa safisha yani ondoa vumbi kisha piga window nyingin install driver and game enjoyJamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ikaanza kwenda slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU YA TATIZO HILI.
Kaka Mkwawa...!!?
Nina PC yangu hapa HP kila nikipiga window chini
Ina nikatalia kila ila Nina boot kupitia CD.pekee
Swali zuli ingia Google download driver booster install.open ila inaitaji Internet iwe accessIyo install driver naiinstall wap
hta mm dell yangu inatatizo la kujizima,cjui shida nn?laptop yako graphic ni ndogo pia ram yako ni ndogo ,pc yako haina uwezo wa kucheza hilo gemu