Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
Hivi karibuni nimekuwa na kazi nyingi sana mtandaoni, Lakini kazi nyingi zimekuwa zikikatizwa na gharama Za mtandao(Mara nyingine imenilazimu nitumie hata 5,000 kwa siku). Ningependa kujua mtandao upi una gharama nafuu na una data bundle unlimited .?