Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,369
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
mm nauza 250k
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
Nami naomba kujua bei ya kioo cha Samsung galaxy note 8!
S8 ukiagiza inapata kwa 160,000. Wewe unauza 380,000? Aisee.
ni online shop unaagza then baada ya week 2 unapata kioo chakoUko na duka la simu? Uko wapi?
250kNami naomba kujua bei ya kioo cha Samsung galaxy note 8!
Tuma screenshot ya hiko kioo cha s8 kwa 160,000. Kama sio ushamba tu hiko kioo kariakoo wanauza hadi laki 6 sasa kawaambie na kariakoo wananunua laki na 60 ili wakupunguzie
Haaahaa mbona una paniki mkuu umejisahau kama upo kwenye uwanja wa technology