Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habari zenu. Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room. Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
kama kichwa kinavojieleza ktv changu kimeacha ghafla kusoma hdmi je inawezakana kurekebishwa maana ina port moja tu ya hdmi na mwanzoni ilikuwa inasoma vizuri.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ivi wadau hdmi portal ikiharibika inarekebishika,,,maana nina tv yangu mwanzo ilikuwa inasoma vizuri.Ila jana ghafla nilipoiwasha ikawa inaandika no signal from current input.Nimejaribu tena leo...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Jamani kwema, Naomba kujua tofauti ya Smart TV na LED TV?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umoja ni nguvu kufanya kitu bila ushirikiano kuna udhaifu mkubwa kuliko faida zake, Kama wewe ni blogger, Youtuber, Affiliate marketer ama unajihusiha kwa itikadi za online money making na upo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wapi nitapata bando la muda wa maongezi wa miezi mitatu au sita kwa bei rahisi.
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Ishu ipo hivi baada ya kutolewa spidi na uzi wangu jukwaa lile, nimekuja hapa swali lipo hivi je laptop hard disk zote zinaingiliana au ukubwa wa umbo zipo sawa? Namaanisha hard disk ya dell...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
How iPhone iOS update means Apple workers can STILL listen into your conversations recorded by Siri unless you opt out or delete them The latest Apple update will record users' conversations...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu, kwa wale wanaotumia/waliowahi tumia PesaPal payment gateway kwenye woocommerce inashindwa kufanya update ya order status hata baada ya malipo kukamilika, hivyo inalazimu kufanya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa wa technology. Kama kichwa kinavyoelekeza, kuna laptop hapa 32 bit os,2.3Ghz processor, RAM 4GB HD graphics 3000. Hii laptop ilikuwa na window 7 sasa ikawa imeisha muda wake...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, naomba msaada wenu, Aisee hii simu haitaki kusoma 4G kwa line ya Voda while the chip is 4G, llakini line nyingine ziko poa kabisa. Msaada nifanye nini?
1 Reactions
4 Replies
3K Views
PATO LAMIFUNGO YA TRANSISTOR (Transistor Gain). Mbunifu napofunga transistor katika mfungo wowote hutarajia matokeo flani (pato),Matokeo haya ndiyo huitwa pato la Transistor. Hasa kwa wanao buni...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji kutumia internet ya mwana hapa. Naombeni namna ya kufanya hizo settings.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Natanguliza salamu, Naombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kwenye PC bila kutumia CD, na pia ku-update au ku-upgrade. Pia kubadilisha, mfano kutoka window 8 kwenda window 10. Asanteni.
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Salam wakuu, Naomba msaada namna ya kuhariri jina Facebook. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nilikuwa najiuliza kila siku hawa propellerads wana taka ads za wapi ili kupiga pesa na kila nikijaribu kuuliza naambiwa ni south ila jinsi ya kushare hadi leo sijajua na nimebahatika kupata email...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Humu ndani suala la emulator ya android kwenye pc sio geni watu wengi wanaulizia jinsi ya kueka whatsapp kwenye pc na vitu kama hivi. kuna kipindi kuna game la android nilitaka kulicheza kwenye pc...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure 1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri) 2) Chochote kuhusu Wordpress 3) Chochote na php au laravel 4)...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hellow wanajf members, Niko na project ya kudevelop e commerce web using drupal project ni ya kuuza vinyago online but ishu ya transaction ni tatizo kuna option ya kutumia paypal gateway but kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…