Hdmi portal kuacha kusoma ghafla

Hdmi portal kuacha kusoma ghafla

mkoha

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
62
Reaction score
53
ivi wadau hdmi portal ikiharibika inarekebishika,,,maana nina tv yangu mwanzo ilikuwa inasoma vizuri.Ila jana ghafla nilipoiwasha ikawa inaandika no signal from current input.Nimejaribu tena leo ila inakuwa kama inataka kusoma lakini haisomi na nimebadilisha hdmi wire bado inakataa.
 
Inasoma somo gani mkuu?!

Anyways, Check tv yenyewe kwanza,, piq pitia user manual yake vizuri. Otherwise kama ni ya wu-hang,, (mchina), basi exipire date tayari
 
Inasoma somo gani mkuu?!

Anyways, Check tv yenyewe kwanza,, piq pitia user manual yake vizuri. Otherwise kama ni ya wu-hang,, (mchina), basi exipire date tayari
ahaaaa,,,sizani kama itakuwa hivo
 
Mkuu hili tatizo ulilitatua maana naona hata TV yangu ina issue kama hii kwa muda sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom