Simu yangu ya Samsung A50 haisomi 4G kwa line ya Voda

adsense master

Senior Member
Mar 12, 2019
107
171
Habari wakuu, naomba msaada wenu,

Aisee hii simu haitaki kusoma 4G kwa line ya Voda while the chip is 4G, llakini line nyingine ziko poa kabisa.

Msaada nifanye nini?
 
Habari wakuu, naomba msaada wenu,

Aisee hii simu haitaki kusoma 4G kwa line ya Voda while the chip is 4G, llakini line nyingine ziko poa kabisa.

Msaada nifanye nini?
4g ya voda ya bahadhi ya mikoa inachagua simu,nilikuwa iringa kipindi fulani 4g ya voda pale iligoma kabisa lakini laini zingine zinapiga 4g kama kawaida
 
4g ya voda ya bahadhi ya mikoa inachagua simu,nilikuwa iringa kipindi fulani 4g ya voda pale iligoma kabisa lakini laini zingine zinapiga 4g kama kawaida
Me mwenyewe Mwanza sim yangu haisomi 4G ya voda while nikiwa mikoa kama Dom, Moro na Dar inasoma vzuri sijui shida ni nin...na kuna bro angu hapa anaitumua kwenye Samsung S10+ yake...
 
Hio A50 yako ni mpya? Version ya kimataifa? Sio zile refurbished za nje ya nchi?

A50 version ya kimataifa inacover band za 4g mitandao yote 800, 1800, 2300, 2600. Hivyo sioni sababu ya kutoshika 4g ya voda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom