Unatumia modem au wifi au usb. Kuna kompyuta ya jamaa angu akitumia modem yani inakua slow sana ila akishare kwa usb kutoka sim janja au hotspot inakua faster balaa.Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini?