IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,448
- 2,289
Ishu ipo hivi baada ya kutolewa spidi na uzi wangu jukwaa lile, nimekuja hapa swali lipo hivi je laptop hard disk zote zinaingiliana au ukubwa wa umbo zipo sawa?
Namaanisha hard disk ya dell unaweza funga kwenye hp au Toshiba au lenovo ?? nataka nichukue hard disk ya GB 500 type ni Toshiba condition used ipo ALIEXPRESS pc yangu ni dell latitude 2100 min laptop nimeuliza kutaka kujua sio mtaalamu wa hizi ishu. Natanguliza shukrani asanteni nataraji majibu mazuri.