Free internet kutoka simu moja kwenda nyingine

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
1,357
Points
2,000

Livejr

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
1,357 2,000
Ukiweka hotspot ON WiFi inazima automatically na kinyume chake pia
Chukua simu ya mshikaji wako nenda kwwnye SETTINGS.

Baada ya kwenda kwenye Settings, then nenda moja kwa moja mpaka sehemu ya Mobile Hospot and Tathering click hapo, then utakuta Mobile Hotspot ambayo ina option ya On/Off utaweka On na utaona kitaa cha bluu hivi.

Ikiwa ipo On, chukua simu yako washa Wi-FI na hapo utaona simu ya mwana inasoma au jina lake. Connect itakupa either option ya kuweka Password au utateleza tu.

Mwisho: Kitonga sio poa, mwana amepata kwa mbinde hiyo hela so tumia internet kwa mambo ya maana, sio unaenda kuangalia Tak* la Sanchi.
 

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,691
Points
2,000

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,691 2,000
Huyu anachanganya. Simu ya dogo inatakiwa iwe data on na hotspot on


Simu yako Mkuu data off hotspot off na wifi on.

Ila yote haya simu ya dogp iwe na internet.
Pia ukiweka wifi on kwenye simu yako mkuu utatakiwa uweke password ambayo utaipata kwenye simu ya dogo.

Kwenye simu ya dogo pale penye maandisho ya mobile hotspot bofya hapo hapo yatakuja maandishi mengine yenye password. Ambayo utanakili na kuweka kwakp ili kuruhusu net ifanye kazi.

Comment ya juu hapo pia imefafanua vizuri.

Good luck
 

Forum statistics

Threads 1,378,980
Members 525,246
Posts 33,730,410
Top