Web developer anayejua kuhusu pesapal API msaada please

Web developer anayejua kuhusu pesapal API msaada please

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
Hellow wanajf members,

Niko na project ya kudevelop e commerce web using drupal project ni ya kuuza vinyago online but ishu ya transaction ni tatizo kuna option ya kutumia paypal gateway but kwa tanzania ni issue kwenye kudraw money from paypal account........

Katika kuhangaika nimekutana na pesapal API ambayo inaintergrate tigopesa airtel money na mpesa with visacard ambaye ashawahi kutumia au mwenye ufahamu wa hi API naomba msaada


  • Je tanzania inawezekana kutumia pesa api ?
  • Je line ya kawaida yenye tigopesa au mpesa inakubalika ?
  • Hakuna usumbufu wa kuchukua mkwanja ulioingia kwenye account yako ?
  • Process zipi za kufata wakati wa ku intergrate ?

Ntashukuru kwa mchango wenu............
 
Niliiona hiyo API nadhani. Inachofanya ni kuscan zile meseji za kutumiwa pesa kwa kutumia regular expression.. Unaweza kutumia line yako ya kawaida ya Tigo Pesa.

Ukikamilisha let me know.
 
Niliiona hiyo API nadhani. Inachofanya ni kuscan zile meseji za kutumiwa pesa kwa kutumia regular expression.. Unaweza kutumia line yako ya kawaida ya Tigo Pesa. Ukikamilisha let me know

Poa mkuu.......... Ngoja wadau waje waongezee ujuzi.
 
rechungura1

Je! Tanzania inawezekana kutumia pesa api ? => NDIO

Je! line ya kawaida yenye tigopesa au mpesa inakubalika ? => NDIO

Hakuna usumbufu wa kuchukua mkwanja ulioingia kwenye account yako ? => HAKUNA, NI KAMA TU MTU AKIKUTUMIA PESA KWA MPESA OR TIGOPESA

Process zipi za kufata wakati wa ku intergrate ? => First you need to have something you are selling or a service you are offering that people will pay for.

Then if your app is a php application, then the api is already there you just need to read the documentation and there's a youtube video where the creator of the API is actually showing to integrate using the php api,

You just need to read the documentation, and search the youtube video, i think they have a link to the video on their site so you have everything there.
 
Last edited by a moderator:
zech,

Thanks mkuu nimepata maujuzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom