Habarini ndugu,
kwa wale wanaotumia/waliowahi tumia PesaPal payment gateway kwenye woocommerce inashindwa kufanya update ya order status hata baada ya malipo kukamilika, hivyo inalazimu kufanya manual jap IPN nimeset sawa na maelekezo yao, nimejaribu kuwaandikia email ili wanipe support lakini hawajajibu.
Hivyo nipo hapa jukwaani naomba kwa yeyote mwenye solution ya tatizo hilo, au anayeweza nipa solution ya kufanya payments kwa njia ya simu na system ikafanya auto update ya order status kwenye woocommerce.