Kutengeneza Robot/Game

Kutengeneza Robot/Game

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,961
Reaction score
25,325
Wakuu mambo vipi? Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia kutengeneza game au robot kwenye PIC na kuweka kwenye simu anisaidie..

Nimepewa assignment chuo sasa hata sijui pa kuanzia maana nimepambana lakini nimekosa title ya kueleweka na malecturer wamezikataa zote nilizowapa.

Nisaidieni wakuu maana jumatatu nina presentation yake.

Asanteni kwa msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijaelewa , ni project au assignment? Halafu Masters au? Robot au Game kwa kutumia PIC microcontroller au halafu liwekwe kwenye Simu. Sijaelewa mkuu
 
Chenchele, Ni assignment bro, yani nitengeneze system inayoweza kutengeneza robot au game.

Au kama unaweza nisaidia namna ya kutegeneza gemu nipe title tu me nitamaliza mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni assignment bro, yani nitengenze system inayoweza kutengeneza robot au game.

Au kama unaweza nisaidia namna ya kutegeneza gemu nipe title tu me nitamaliza mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Robot hua inacomprise vitu viwili
Hardware and software
Hardware utakutana na sensors(camera, ultrasonic, pir, ir), actuators(motor drives system; ac, dc, pneumatic, hydraulic ), microcontroller(8051, ARM, PIC, AVR), mechanical support(links, bases)
-sijaelewa unataka kutengeneza software, hardware au complete robotic system?

Kuna software ya National Instrument , inaitwa Robotic inatumika kudesign robots


Ila bado sijaelewa unataka kufanya nini, kudesign, au just kua na title tu
 
Back
Top Bottom