Salaam,
Halotel walivyoanzisha Royal Bundle Offer ilikuwa Simple, Lipia kuanzia Elfu 10 Kwa mwezi utapata 2GB + 1.5GB high speed, kisha utaendelea na unlimited internet kwa speed iliopunguzwa.
Miezi ya mwanzo ilikuwa vizuri hata baada ya speed kubwa kuisha ulikuwa unapata transfer rate ya 60 - 70 KB/s ambayo ilikuwa usable, kazi ndogo ndogo na streaming kwa low quality unafanya bila matatizo, hii ilikuwa nzuri sana kwa sisi tunaopenda kusoma online....
Naona baada ya wadau kuongezeka, uchu ukazidi, wakapata tamaa ya wanaopata makampuni mengine na mwishowe kuiharibu. Wamepunguza speed MNO yani sasa ni PRACTICALLY UNUSABLE, Simple Images tu inazingua kuload?!? Imekuwa straight up UTAPELI. Maana nilikuwa tayari niweke kila mwezi 10,000 x 12 = 120,000/= yangu wangechukua kwa mwaka mzima, lakini kwa sababu ya uchu wao wateja wengi mimi nikiwemo tutawakimbia.
Ushauri wangu: Wekeni mambo vizuri wateja mtapata. Mkiwa fisi na kutaka kutapeli wateja wenu, mtaishiwa kulalamikiwa na kukimbiwa (kifupi mtakuwa mpo mpo kama Zantel). Kwa wale wanaotaka kujiunga Royal Bundle, Bora mtumie hiyo 10,000/= Kununulia 10GB kwenye mitandao mengine kuliko utapeli huu wa spidi za kobe aliyeumia baada ya GB3.5 kuisha.
Mchana mwema