kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,508
- 1,642
Nasikitika sana ninapoona fundi anapopewa ushauri lakini unajifanya unajua mwisho unaharibu.
Niko zangu safarini nikaenda kuchaji simu, katika office moja wapo kuna fundi simu. Mteja kaleta simu hapo ile simu inawaka na kuzima akampa bei nikaona jamaa anaifungua ile simu nikamuuliza unataka kuifanya nini akaniangalia kwa dharau sana.
Nikamwambia hiyo ni software unachotaka kufanya kuipiga moto itazimua. Akanijibu we unajua nini nikabaki kimya akaipiga moto wa kutosha nikawa namuangalia na ninasubiri simu yangu iingie chaji.
Baada ya muda nawasikia wanaambia oya hii Samsung nimeizima nikamwambia nilikuambia sasa umemuharibia simu mteja na kuchafua fani ya watu, akaniambia same time ukipiga moto zinakubaligi.
Nikamwambia ukiona kazi huwezi bora uwe dalali kwa wenzio ilo sio kubahatisha usilojua madhara yake.
Mafundi tuwe tunasikiliza ushauri sio kila anayekuja office kwako hajui.