Joackim Joseph
Member
- Feb 24, 2017
- 75
- 35
Habari ndugu Wana JF, Nahitaji kufungua duka online (eShop) kama ilivyo Jumia, Amazon, eBay, Kikuu nk.
Je naweza nikapata vitu gani vya kuzingatia kabla sijaanza rasmi?
N.B: Sina store ya vitu kama ilivyo Amazon.
Je naweza nikapata vitu gani vya kuzingatia kabla sijaanza rasmi?
N.B: Sina store ya vitu kama ilivyo Amazon.