Kurudisha Corrupted Files kwenye windows 10

Kurudisha Corrupted Files kwenye windows 10

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
429
Husika na mada tajwa hapo juu,

Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki.

Naomba mwenye kujua namna ya kurecover hizo applications maana nimeenda kuzifungua kwenye window explorer nimeona zimefutika.

Hizo applications zipo kama sita ambazo ni Pes 2017, Chromium, Dictionary, Need for Speed na VLC.

Kuna picha nimeweka hapo mfano wa game la Pes 2017.

1572280154533.jpeg
 
sawa mkuu, hii EasyUs Data recovery pro ni free au ya kulipia ?
Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools
 
Ukikoswa msaada karibu kwenye yakulipia elfu tano tu , wengi imewasaidia humu ndani.. tumia hizo free tools zikishindwa njoo nikuuzie pro tools
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom