Ipi laptop nzuri ya kusomea yenye bei nafuu

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
161
30
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Basic Certificate. Ningeomba msaada kwa anayeweza kunifahamisha aina ya laptop na space inayotakiwa ili nifanikishe lengo langu.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Unataka kuitumia kwa shughuli zipi kama mwanafunzi, na hiyo basic certificate ni ya IT au?
 
Aina gani,na specifications zikoje,na wapi naweza kuzipata
Tafuta HP G50 Au G80 kama unataka kitu cha kudumu nacho na standard.

Mimi kama Tech Personnel nakushauri usichukue Toshiba Au Lenovo.

Ninazo hapa kwangu, nazifahamu sana.
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Basic Certificate. Ningeomba msaada kwa anayeweza kunifahamisha aina ya laptop na space inayotakiwa ili nifanikishe lengo langu.

Natanguliza shukrani kwenu.
Chukua Asus mimi ninayo huu mwaka wa tano sasa betri tuu ndo nimebadilisha mara moja
 
Back
Top Bottom