TAXIFY INCOME

TAXIFY INCOME

obbytune

New Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wakuu,
Hivo nahitaji kujua kuhusu kipato cha mtandao huu mpya wa Taxify, hivo njia gaani wanayoitumia hii kampuni kupata mshiko wao maana nimefanya survey ya boda boda wengi maelezo yao ni kwamba hawalipi njia yeyote kwa hawa watu(taxify) na ila bonus(Tshs 40,000) hawa boda boda wanapata kwa kila trip 40 kwa wiki pindi wanapozifikisha.Tafadhali ningependa kufahamu hili...
 
Kuna uwezekano kuwa hawapati faida yoyote kwa sasa Tanzania,hizi kambuni nyingi zinakula hasara kubwa katika kujaribu kukamata soko au kuwaua washindani.

Wanachofanya ni kutumia hela za wawekezaji wao kujaribu kukamata soko wakiwa na wazo kwamba wakishakuwa na monopoly wanaweza kupandisha bei na kukata wanachotaka. Pia wengine wanakamata soko wakiwa na nia ya kununuliwa na kampuni nyingine.

Kwa mfano Uber haijawahi kupata faidia. Taxify/Bolt nayo haipati faida kwa ujumla.
Pia inawezekana wanakata hela fulani kama unatumia njia ya kadi kulipia, kama wanasupport kadi.
 
Habari zenu wakuu,
Hivo nahitaji kujua kuhusu kipato cha mtandao huu mpya wa Taxify, hivo njia gaani wanayoitumia hii kampuni kupata mshiko wao maana nimefanya survey ya boda boda wengi maelezo yao ni kwamba hawalipi njia yeyote kwa hawa watu(taxify) na ila bonus(Tshs 40,000) hawa boda boda wanapata kwa kila trip 40 kwa wiki pindi wanapozifikisha.Tafadhali ningependa kufahamu hili...
Madereva watoa siku saba kwa wamiliki wa Uber, Taxify Madereva watoa siku saba kwa wamiliki wa Uber, Taxify via @MwananchiNews
 
Back
Top Bottom