Website za kujifunza programming kwa vitendo kwa njia ya mashindano (competitive programming)

agudev

Member
Apr 5, 2016
76
122
Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza kushinda kitita cha pesa kama ukiwa umejinoa kwelikweli. Zipo websites mbalimbali zinazofanya vitu kama hivi na kutoa zawadi kwa washindi kutokana na uandishi na ubora wa programu zao. Website hizi zinatumia language tofauti tofauti katika mashindano yao kama C, C++, Java, Python, Javascript, Pascal, VB na zingine nyingi.

Lengo la website hizi ni kufanya watu waweze kuwa bora katika uandishi wao wa code na kufanya uweze kujua programming kwa undani zaidi, utaweza kujifunza namna ya kutengeneza algorithms zenye performace kubwa na kutumia resources za computer kama RAM na CPU kwa ufanisi zaidi. Na kama uwezo wako ni mkubwa katika kuprogram na kutengeneza algorithms zenye ufanisi wa hali ya juu basi pia unaweza kuitumia hii kama njia ya kutengeneza kipato ingawa unatakiwa uwe na uwezo kwelikweli kwa maana unashindana katika level ya dunia, lakini nashauri unapoingia usiwe na papara na pesa kwanza kwani ni rahisi kukata tamaa ukienda hivyo.
Anza mdogo mdogo kwa lengo la kujijenga katika programming na pia inakupa challenge ya kuwa unacode mara mara maana maswali yapo mengi ya kutosha hivyo unaweza kujizoesha na kuifanya iwe kama game ya kuchangamsha akili unapokuwa umechoka au upo bored. Utaweza kujipima uwezo wako na kujilinganisha na progammers wengine duniani kwani kila unapokuwa unashinda challenge unakuwa unajiongezea marks na unapanda katika rank.

Zipo website mbalimbali zinazojihusisha na haya mambo (Sio zote zinatoa pesa, nyingine ni kwa ajili ya mashindano na kusolve maswali mbalimbali kwa ajili ya kujipima uwezo wako na kupata ranking). Nitatoa zile maarufu ambazo zina watu wengi sana au nimeziona mara kwa mara, kama utataka kufanya utafiti zaidi itakubidi uingie google.

Bila mpangilio maalum unaweza kucheki websites zifuatazo:

Kwa muda wako tu unaweza ukapitia kucheki moja moja kuangalia vitu gani unaweza kupata huko
 
Mkuu ni website gani hapo ni nzuri kwa kujinoa na C language

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom